Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, wafuasi wanauawa, wanafilisiwa mali, viongozi wa Chadema kila siku wanakamatwa, wanashinda polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na wenzao wa CCM kinyongo kimewajaa.
Wameanza kuleta maneno chonganishi mara Mbowe kanunuliwa mara kuna mgogoro ndani ya chama almradi tu wawakatishe tamaa.
Hongera Mbowe, ulipokuwa gerezani kuna watu walifurahi kuna vyama vilifurahi vikitegemea Chadema itakufa ili vichukue nafasi ya Chadema wakati havina hata base, kazi yao kubwa ni kuchonganisha vyama vigawanyike vichukue wafuasi, hata mgogoro wa NCCR wanafurahi uendelee ili wapate wafuasi kutoka bara. Shame on them.