Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muasisi wa siasa za vita - chalii. Sasa tunafungua ukrasa mpya !! asiyetaka atupishe.Sana. Tumshukuru Mungu kuingilia kati
Mbaya zaidi kuna wana-CHADEMA tena nao hawataki tena maridhiano sijui wanataka nini?Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, wafuasi wanauawa, wanafilisiwa mali, viongozi wa Chadema kila siku wanakamatwa, wanashinda polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na wenzao wa CCM kinyongo kimewajaa.
Wameanza kuleta maneno chonganishi mara Mbowe kanunuliwa mara kuna mgogoro ndani ya chama almradi tu wawakatishe tamaa.
Hongera Mbowe, ulipokuwa gerezani kuna watu walifurahi kuna vyama vilifurahi vikitegemea Chadema itakufa ili vichukue nafasi ya Chadema wakati havina hata base, kazi yao kubwa ni kuchonganisha vyama vigawanyike vichukue wafuasi, hata mgogoro wa NCCR wanafurahi uendelee ili wapate wafuasi kutoka bara. Shame on them.
Good sisi hatutaki umwagaji damuTulia siasa ni sayansi
Ukiona hivyo kuna makundi ya aina mbili, kundi la kwanza kweli ni wana CDM ambao hawaamini kama CCM itaridhia mwafaka wanaona kama CCM wanataka kuitumia CDM kwa manufaa ya serikali.Mbaya zaidi kuna wana-CHADEMA tena nao hawataki tena maridhiano sijui wanataka nini?
Nakubaliana na hoja zakoUkiona hivyo kuna makundi ya aina mbili, kundi la kwanza kweli ni wana CDM lkn hawaamini kama CCM itaridhia mwafaka wanaona kama CCM wanataka kuitumia CDM kwa manufaa ya serikali.
Kundi la pili ni mamluki wanaojifanya wana CDM lengo ni kubeza maridhiano na kuwachonganisha viongozi na wanachama hawa ndio walionuna zaidi.
Tahadhali: Hawa watu watadiriki kupandikiza mamluki ndani mwa CHADEMA ili wakivuruge na kuvuruga mchakato huu tukufu.Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, wafuasi wanauawa, wanafilisiwa mali, viongozi wa Chadema kila siku wanakamatwa, wanashinda polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na wenzao wa CCM kinyongo kimewajaa.