Kuna watu walikuwa wanafurahi CHADEMA kuumizwa, hawajapenda haya maridhiano

Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, viongozi wa Chadema kila siku wakamatwe washinde polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na wenzao wa CCM kinyongo kimewajaa.

Wameanza kuleta maneno chonganishi mara Mbowe kanunuliwa mara kuna mgogoro ndani ya chama almradi tu wawakatishe tamaa.

Hongera Mbowe, ulipokuwa gerezani kuna watu walifurahi kuna vyama vilifurahi vikitegemea Chadema itakufa ili vichukue nafasi ya Chadema wakati havina hata base, kazi yao kubwa ni kuchonganisha vyama vigawanyike vichukue wafuasi, hata mgogoro wa NCCR wanafurahi uendelee ili wapate wafuasi kutoka bara. Shame on them.
Uko sahihi..Hasa Lijualikali....
 
Mkiambiwa ndani ya Chadema kuna demokrasia mnakataa, watu wana tofautiana kimawazo lkn hawafukuzwi.
Huyu Maranja, Lissu na Lema watafukuzwa, take my words, ni suala la muda tu
 
Hayo ni mawazo kinzani tu ndiyo yanayojenga chama yanawakumbusha viongozi kuwa makini chochote wanachofanya wanachama wanafuatilia.
 
Ila nimeanza kuamini Mbowe na CHADEMA yake wana tatizo mahala, mara tatu sasa Mbowe anakwenda Ikulu, hasemi hoja walizojadili, zenye mgogoro, mtu mmoja kuonana na Rais, tena kimya kimya, hatoi taarifa. Eti wafuasi wanaita maridhiano.
Huu ni utatuzi wa mgogoro binafsi wa Mbowe na serikali, sio CDM.
Kinachokukera hapo ni kitu gani sasa?
 
Kwa akili yako fupi unaamini hayo ni maridhiano! Wewe siyo chawa bali ni nyumbu kabisa.
 
Mwendazake aliiharibu sana nchi.
Hivi huwaga nnardhiana kitu gani huko ikulu?

Huyu mwendazake kumbe ndio alikuwa rais wakati Jk anachukua nchi ee?
20220522_145738.jpg
 
Ila nimeanza kuamini Mbowe na CHADEMA yake wana tatizo mahala, mara tatu sasa Mbowe anakwenda Ikulu, hasemi hoja walizojadili, zenye mgogoro, mtu mmoja kuonana na Rais, tena kimya kimya, hatoi taarifa. Eti wafuasi wanaita maridhiano.
Huu ni utatuzi wa mgogoro binafsi wa Mbowe na serikali, sio CDM.
Wewe ni mmojawapo uliyekuwa unapenda uwaona Chadema wanaumizwa,pole sana subiria selikali ya mseto baada ya uchaguzi
 
Ila nimeanza kuamini Mbowe na CHADEMA yake wana tatizo mahala, mara tatu sasa Mbowe anakwenda Ikulu, hasemi hoja walizojadili, zenye mgogoro, mtu mmoja kuonana na Rais, tena kimya kimya, hatoi taarifa. Eti wafuasi wanaita maridhiano.
Huu ni utatuzi wa mgogoro binafsi wa Mbowe na serikali, sio CDM.
Pole sana. Chukua ushauri wa Zitto Kabwe kuelekea Chato.
 
Ila nimeanza kuamini Mbowe na CHADEMA yake wana tatizo mahala, mara tatu sasa Mbowe anakwenda Ikulu, hasemi hoja walizojadili, zenye mgogoro, mtu mmoja kuonana na Rais, tena kimya kimya, hatoi taarifa. Eti wafuasi wanaita maridhiano.
Huu ni utatuzi wa mgogoro binafsi wa Mbowe na serikali, sio CDM.
Nenda kamuulize Samia akuambie wanachojadili na Mbowe
 
Kuna kundi kubwa la wabunge 90% hawawezi hata kujenga hoja na hawafai lkn wako bungeni kwasabb yule mwendawazimu aliikandamiza chadema na kuharibu uchaguzi. Hawa ndiyo wamenuna sana.

Maana wanajua kwa kinachoendelea hawarudi tena
Uko sahihi kabisa 100%
 
Back
Top Bottom