Kuna watu walikuwa wanafurahi CHADEMA kuumizwa, hawajapenda haya maridhiano

Uko sahihi..Hasa Lijualikali....
 
Mkiambiwa ndani ya Chadema kuna demokrasia mnakataa, watu wana tofautiana kimawazo lkn hawafukuzwi.
Huyu Maranja, Lissu na Lema watafukuzwa, take my words, ni suala la muda tu
 
Huyu Maranja, Lissu na Lema watafukuzwa, take my words, ni suala la muda tu
Hayo ni mawazo kinzani tu ndiyo yanayojenga chama yanawakumbusha viongozi kuwa makini chochote wanachofanya wanachama wanafuatilia.
 
Kinachokukera hapo ni kitu gani sasa?
 
Kwa akili yako fupi unaamini hayo ni maridhiano! Wewe siyo chawa bali ni nyumbu kabisa.
 
Wewe ni mmojawapo uliyekuwa unapenda uwaona Chadema wanaumizwa,pole sana subiria selikali ya mseto baada ya uchaguzi
 
Pole sana. Chukua ushauri wa Zitto Kabwe kuelekea Chato.
 
Nenda kamuulize Samia akuambie wanachojadili na Mbowe
 
Kuna kundi kubwa la wabunge 90% hawawezi hata kujenga hoja na hawafai lkn wako bungeni kwasabb yule mwendawazimu aliikandamiza chadema na kuharibu uchaguzi. Hawa ndiyo wamenuna sana.

Maana wanajua kwa kinachoendelea hawarudi tena
Uko sahihi kabisa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…