Kuna watu walikuwa wanafurahi CHADEMA kuumizwa, hawajapenda haya maridhiano

Wewe ni mmojawapo uliyekuwa unapenda uwaona Chadema wanaumizwa,pole sana subiria selikali ya mseto baada ya uchaguzi
Hapo kwenye mseto ndiyo unawaumiza sana watu wa CCM, watamchukia sana mama SSH.
 
Kusema au kutozisema haina tija ,tija ni upande ule Kama Kuna nia ya kweli kuridhia yale wamepelekewa Hasa KATIBA MPYA hii ndo pilipili KWa CCM, je ipo tiyari ?????? Dalili zinaonesha kwao ni jambo la tano, hapa ndo kipengele Cha kua makini Kama wako mbali huna sababu ya kupoteza mda, bali ni kujikita kujenga chama na mipango mingine yenye tija ndani ya chama
 
kwanini mlesema Zito kanunuliwa baada ya yeye kuwa wa kwanza kwenye maridhiano na serikali ya CCM?
Upenzi ni upofu lini Zitto kawa wa kwanza kwenye maridhiano, wa kwanza ni Seif chini ya CUF.
 
Uzi unasema watu walionuna kwa hili na wewe unajitangaza live kuwa una roho mbaya.

Kweli dunia ina watu na viatu.
 
Kuna kundi kubwa la wabunge 90% hawawezi hata kujenga hoja na hawafai lkn wako bungeni kwasabb yule mwendawazimu aliikandamiza chadema na kuharibu uchaguzi. Hawa ndiyo wamenuna sana.

Maana wanajua kwa kinachoendelea hawarudi tena
🤣🤣🤣
 
act au?
 
Si wajiue au wahamie Burundi kwani ni uzao wa laana na kizazi cha visasi na damu!
 
Nimeona wanachama pendwa wa chama pendwa-chadema pamoja na Mapaka ya kijani😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna kundi kubwa la wabunge 90% hawawezi hata kujenga hoja na hawafai lkn wako bungeni kwasabb yule mwendawazimu aliikandamiza chadema na kuharibu uchaguzi. Hawa ndiyo wamenuna sana.

Maana wanajua kwa kinachoendelea hawarudi tena
Wanune na wapusuke, waliharibu nchi yetu kwa ulimbukeni wao hadi tulipopiga magoti kwa Mola wetu akaturehemu.
 
Kwa akili yako fupi unaamini hayo ni maridhiano! Wewe siyo chawa bali ni nyumbu kabisa.
Hivi lini vijana wa ccm; mtaandika kwa hoja na uelewa badala ya vioja na kejeli pasipo misingi ya kujenga hoja na kuitetea?
 
Acha uzwazwa serikali nachama wamegundua mahitaji yaliyotumika kumfunga mbowe hayakutakiwa kumfunga Ila kukubaliana ,katiba niya wananchi sio ccm
 
Yeye kaenda ikulu wewe nenda nyumbani kwake atakueleza walichokiongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…