Kuna watu walikuwa wanafurahi CHADEMA kuumizwa, hawajapenda haya maridhiano

Ndani ya CCM ni ukweli usiopingika kwamba kitendo cha Mbowe kwenda Ikulu mara 3, kimewauma sana - walitaka vita vya kisiasa viendelee na watu waendelee kusota magelezani na kuumizwa.
 
Mbaya zaidi kuna wana-CHADEMA tena nao hawataki tena maridhiano sijui wanataka nini?
 
Mbaya zaidi kuna wana-CHADEMA tena nao hawataki tena maridhiano sijui wanataka nini?
Ukiona hivyo kuna makundi ya aina mbili, kundi la kwanza kweli ni wana CDM ambao hawaamini kama CCM itaridhia mwafaka wanaona kama CCM wanataka kuitumia CDM kwa manufaa ya serikali.

Kundi la pili ni mamluki wanaojifanya wana CDM lengo ni kubeza maridhiano na kuwachonganisha viongozi na wanachama hawa ndio walionuna zaidi.
 
Nakubaliana na hoja zako
 
Tahadhali: Hawa watu watadiriki kupandikiza mamluki ndani mwa CHADEMA ili wakivuruge na kuvuruga mchakato huu tukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…