Kuna watu wana upendeleo humu

Kuna watu wana upendeleo humu

la muhimu tu ujue members wote humu wana degree, wanaishi Dar na wana magari!!
Mimi sina degree. Naishi Dar Ila nimegraduet na akili aliyonijalia mungu ndio inanifanya nisimamie Mali za urithi nilizoachiwa. Mkuu unaweza kujua lipi nibora kati ya Mali na degree.
 
anataka ushirikiano ajue Pm zinatumikaje, anafikaje, na mitongozo isimpitie mbali...
mimi nimemuelewa sana tu!
 
Tatizo sina ninalojua yani ndio kwanza. Hata hiyo private messages Sifaham inafungwa vipi au kufunguliwa vipi[emoji26][emoji15]
[emoji87] Lahaula kaulizwa miss chaga nimejibu mimi. Yani huu ni ulena wahali ya monchwar. Nisameheni tu ntajua kidogodogo
 
Back
Top Bottom