miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ushirikiano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ushirikiano
Niliomba kifahamu sheria nataratibu za jf. Sababu ndio naanza kutumia jf. ThanksEMBU TUKUMBUSHE KIDOGO, ,,AMBAO HATUKUWEPO JUZI....,.........USHIRIKIANO UPI?
[emoji13] [emoji13]la muhimu tu ujue members wote humu wana degree, wanaishi Dar na wana magari!!
Mimi sina degree. Naishi Dar Ila nimegraduet na akili aliyonijalia mungu ndio inanifanya nisimamie Mali za urithi nilizoachiwa. Mkuu unaweza kujua lipi nibora kati ya Mali na degree.la muhimu tu ujue members wote humu wana degree, wanaishi Dar na wana magari!!
[emoji45][emoji1] [emoji1] [emoji1] ushirikiano
pesa safi nitakupmMimi sina degree. Naishi Dar Ila nimegraduet na akili aliyonijalia mungu ndio inanifanya nisimamie Mali za urithi nilizoachiwa. Mkuu unaweza kujua lipi nibora kati ya Mali na degree.
Karibupesa safi nitakupm
hata Bashite ana degreeMimi sina degree. Naishi Dar Ila nimegraduet na akili aliyonijalia mungu ndio inanifanya nisimamie Mali za urithi nilizoachiwa. Mkuu unaweza kujua lipi nibora kati ya Mali na degree.
Can u start? To apply ur pic plsWeka picha
Miss Chagga upo? mbona umefunga PM bana?pesa safi nitakupm
Tatizo sina ninalojua yani ndio kwanza. Hata hiyo private messages Sifaham inafungwa vipi au kufunguliwa vipi[emoji26][emoji15]Miss Chagga upo? mbona umefunga PM bana?
Na wazazi wao pia wana madegree na kwao wana msichana wa kazila muhimu tu ujue members wote humu wana degree, wanaishi Dar na wana magari!!
[emoji87] Lahaula kaulizwa miss chaga nimejibu mimi. Yani huu ni ulena wahali ya monchwar. Nisameheni tu ntajua kidogodogoTatizo sina ninalojua yani ndio kwanza. Hata hiyo private messages Sifaham inafungwa vipi au kufunguliwa vipi[emoji26][emoji15]
Mimi sio mgeni na silii lii kutafuta kusikilizwa kama weweCan u start? To apply ur pic pls
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pitia hapa nikupe liftNa wazazi wao pia wana madegree na kwao wana msichana wa kazi