Yani kila linalotokea huko Gaza, wao watakwambia Israel inajua inachokifanya. Waliposhambuliwa na kuuwawa zaidi ya raia wao elf 1 pamoja na wengine zaidi ya miamoja kutekwa, wapo waliosema 'eti huo ni mtego'.
Wakajiapiza kurejesha mateka wote na kuwamaliza Hamas. Lkn baada ya vita ya zaidi ya Mwaka bila kufanikisha lengo lolote zaidi ya kuwaua raia wa kawaida (ambalo sio lengo), wameishia kufanya makubaloano ya kusitisha mapigano ili kuwapata wapendwa wao.
Cha kushangaza kuna watu bado wanasema 'Israel ilikuwa inajua walipo hao mateka'. Jaman hawa watu wameshindwa, ni watu wa kawaida tu na hawana lolote. Ukitaka kuthibitisha hili jiulize kwanini taifa hilo kuna mashoga wengi sana?
Ni wa kawaida sana mpaka wanakuwa miongoni mwa mataifa machache yenye kuongoza kwa huo uchafu. Tupunguze kuwakwezaaa