Kwanza nikusahihishe waliouwawa na magaidi wa Hamas Oct 07,2023 ni 1,200 na waliotekwa ni 251.
Pili Napenda pia kukujulisha kuwa mpaka sasa walioko Gaza kama mateka ni 98 tu wengine wote wamekombolewa kwa nią mbalimbali huo pia ni ushindi kwa Israel kutoka mateka 251 mpaka mateka 98 ni ushindi tosha. Pia ni uongo kusema hawajafanya lolote kuhusu kuuwawa wanawake na watoto hiyo ni jukumu la Hamas wali pasowa kuwa weka mbali na uwanja wa vita watoto ili wasidhurike lakini kwa kuwa wao ni Magaidi waliamua kuwafanya kuwa kinga yao na wao ndiyo furaha yao. None ni ukweli usiopingika ilikuwa unajua walipo kwa usalama wa mateka iliamua Isifanye kitu maana isingekuwa sahihi kuwaokoaa Katika hali hiyo. Kwa taarifa yako tu mkataba wa usitishwaji mapigano na magaidi wa Hamas ulipangwa na nchi za Kiara u na Marekani. Kwa taarifa yako tu wayahudi si wenzako wanauwezo zaidi yako Kwanza mitandao yote duniani kuna mkono wao,Hii Internet unayotumia kubwabwaja ovyo kuna mkono wao, Magaidi wa Hezbollah wanajua vizuri sana kuwa israel si wa kawaida kwa kutumia teknolojia yao Gaidi Hassan Nasrallah waliweza kumwangamiza na waliweza kuzigeuza Radio call na Pagers 📟 kuwa mabomu na kuwamaliza makamanda wengi wa Hezbollah. Kwa upande wa Hamas Ismail aliweza kuuwawa akiwa Tehran kwenye ulinzi mkubwa wa Iran lakini aliangamizwa kutumia teknolojia yao. Israel unayoiona wewe ya kawaida Ina mifumo ya ulinzi wa anga ambayo bila kuwa nayo wananchi wengi wa israel wangekuwa wamepoteza maisha yao kwa makombola yanayotoka nchi za kiarabu. Vilevile israel unayoidharau wewe wana Alarm System ambayo bomu likitoka Yemen Iran au nchi yoyote inatoa taarifa mapema hivyo kuruhusu watu kwenda kwenye mahandaki kujihifadhi mifumo hiyo imeokoa watu wengi sana huko Ukraine na nchi zingine.. israel unayoidharau wewe ndiyo walioanzisha JKT hata sasa kuna askari huenda huko kupata mafunzo. Tukija kwenye kiimo na ufugaji nenda Google utapata majibu!!