Kuna watu wanaamini Waisrael sio watu wa kawaida. Wanawakuza sana

Elewa mada. Wao ni watu wa kawaida tu. Mnawakuza sana. Ni wa kawaida kama wengine ndio maana hata kwenye mambo ya machafu ya kubinuliwa wanafanya tena wapo katika rank za juu
Kama kubinuliwa mbona hata hapa wanabinuliwa tu? Kwa hiyo unaona kubinuliwa kwa wayahudi tu lakini waarabu wanapodinywa unajifanya huoni?
 
Elewa mada. Wao ni watu wa kawaida tu. Mnawakuza sana. Ni wa kawaida kama wengine ndio maana hata kwenye mambo ya machafu ya kubinuliwa wanafanya tena wapo katika rank za juu
Wewe ndiyo unapanga rank za Ushoga? Utabisha lakini dunia nzima wanajua kuwa Wayahudi si kama wewe Mmatumbi mwenzangu!!
 
Yani kila linalotokea huko Gaza, wao watakwambia Israel inajua inachokifanya. Waliposhambuliwa na kuuwawa zaidi ya raia wao elf 1 pamoja na wengine zaidi ya miamoja kutekwa, wapo waliosema 'eti huo ni mtego'.

Wakajiapiza kurejesha mateka wote na kuwamaliza Hamas. Lkn baada ya vita ya zaidi ya Mwaka bila kufanikisha lengo lolote zaidi ya kuwaua raia wa kawaida (ambalo sio lengo), wameishia kufanya makubaloano ya kusitisha mapigano ili kuwapata wapendwa wao.

Cha kushangaza kuna watu bado wanasema 'Israel ilikuwa inajua walipo hao mateka'. Jaman hawa watu wameshindwa, ni watu wa kawaida tu na hawana lolote. Ukitaka kuthibitisha hili jiulize kwanini taifa hilo kuna mashoga wengi sana?

Ni wa kawaida sana mpaka wanakuwa miongoni mwa mataifa machache yenye kuongoza kwa huo uchafu. Tupunguze kuwakwezaaa
kama wanawakuza nenda kawachokoze,tusindikie mate na wakati wino tunao.
 
Waulize hao mabwana zako waarabu
Watu zaidi ya milion 400 nchi zaidi 15 zimekashindwa kanchi kenye watu chini ya milion 8 kwa zaidi ya miaka 60

Kama we unakichwa kigumu nimekuekewa picha! Blue Vs Yellow.
 
Attachments

  • D50AB689-3689-4180-8CC5-88A00E5D8BBD.png
    D50AB689-3689-4180-8CC5-88A00E5D8BBD.png
    26.9 KB · Views: 2
Kama unahusisha kushindwa na ushoga basi wapalestina, Iran ni mishoga kupindukia maana safu ya uongozi ya Hamas, na Hezbollah imefyekwa hii ni kudhihirika walivyokuwa mishoga tena ya kiwango cha juu sana ambacho hakijaweza kuwepo duniani.
Vilevile Iran ni mishoga tena ile michafu mnoo ya kizenj maana ameshindwa kuwalinda anaowadhili mpaka Haniya anauwawa Tehran tena kwenye majengo nyeti sana ya serikali. Iran imeshindwa kuwalinda wapiganaj wa hezbollah mpaka wakalipukiwa na pagers na kukaangwa makalio ka nguruwe.
Muisrael wa picha ya ndege kachafukwa pole mlokole waambie watakuelewa tu muisrael kwanza anyi au nadanganya!!!
 
Waulize hao mabwana zako waarabu
Watu zaidi ya milion 400 nchi zaidi 15 zimekashindwa kanchi kenye watu chini ya milion 8 kwa zaidi ya miaka 60

Kama we unakichwa kigumu nimekuekewa picha! Blue Vs Yellow.
NATO MARAKANI yote inapigana na Hamas Silaha mipesa mindege vifaru mizinga chakula maji umeme na wamewashindwa Hamas ukubwa wa mungu!!!!!!!!!!! Iyo Israel lini ilipigana peke yake!!! Jomba zile zilikuwa story watu walikuwa ndezi sana ndio waliamini ule ujinga. Mbona sasa kikundi tu cha Hamas lkn misaada inapitishwa uko MARAKANI mlokole wawapi muongo muongo ww!!!
 
kama wanawakuza nenda kawachokoze,tusindikie mate na wakati wino tunao.
Wewe sikia hamas awajai omba msaada lkn IDF ndio walisema inatafuta vijana tulidhani ww ndio ungeenda mlokole gani muogo ww sasa IDF Imeshindwa vita imekubali kufata matakwa ya Hamas ww unalialia kulazimisha ushindi upande ya Israel wanzenu uko Wamechutama taifa lao linaudhuni kubwa kushindwa na Hamas tulieni uho ni mwanzo tu Israel watakimbia na chup mkononi!!!!
 
Waulize hao mabwana zako waarabu
Watu zaidi ya milion 400 nchi zaidi 15 zimekashindwa kanchi kenye watu chini ya milion 8 kwa zaidi ya miaka 60

Kama we unakichwa kigumu nimekuekewa picha! Blue Vs Yellow.
Sawa
 
Atakaye ilaani Israel naye atalaaniwa atakaye ibatiki naye atabarikiwa
 
Back
Top Bottom