Kuna watu wanaamini Waisrael sio watu wa kawaida. Wanawakuza sana

Ok sawa why sehemu ya budget yao ya nchi inatolewa na marekani?
Sio sehemu ya bajeti ya nchi, ni ufadhili wa kijeshi unaotolewa kila mwaka na serikali ya Marekani, sababu ni za kisiasa na zaidi sana ni kwa maslahi ya Marekani. Israel inachangia pakubwa sana katika sekta ya teknolojia hasa ya silaha nchini Marekani, sehemu kubwa ya biashara ya Silaha ya Israel inadhibitiwa na Marekani wakiwekewa vizingiti kutokuuza teknolojia kadhaa za silaha au kutoa utaalamu huo, Israel ni washirika wakubwa na wa uhakika wa US katika ujasusi Mashariki ya kati na uarabuni. Huo msaada wanaopewa ni kama malipo.
 
Ahaa ok sasa mbona GLOBAL INNOVATION INDEX(GII) inawarank namba 15 in terms of technology superiority?
 
Ahaa ok sasa mbona GLOBAL INNOVATION INDEX(GII) inawarank namba 15 in terms of technology superiority?
Wanapima innovations za teknolojia zipi? Silaha zinahusika?
 
Taifa teule la Mungu haiwezi kuwa kama Rwanda. Hata uthibitisho wa kimaandiko Hilo Taifa ni la ASALI na Maziwa unakataa. Kwamba uzao wa Ibrahimu ni mwingi kama mchanga wa baharini halafu Leo Taifa lake liwe dogo Kama Rwanda halafu lipo Jangwani uthitisho unakataa
 
Mnawakuza sana haO taifa la WAAMERICA.
 
Utawaweza hao wanaongea maneno yasiyoeleweka nakudai wananena kwa llugha.
 
We hata wakikwambia wakufilhe unakubali
 
Tupe takwimu za mataifa yote za viwango vya akili ambayo wao wameyazidi mataifa yote kwa kila nyanja ili tuone upekee wa hilo taifa lenu la mungu wenu.
Tunataka nasi tujiridhishe na ukisemacho.usilete maneno matupu tunataka huo utafiti wako wa kitakwimu
 
Msaada wa kijeshi anapewa na marekani.
Israel anazuiwa na marekani asiuze teknolojia ya silaha🤔
Marekani anafanya hivyo kwa sababu ya maslahi yake🤔
Mkuu tafadathali fafanua hizo hoja zako happy juu.
Tofauti na hapo unatakaka kujaribu kutuonyesha ni kiasi. Gani Israel ni kibaraka mkuu Sana. Wa marekani pale ME
 
Wakishakuwa Wazungu basi ujue wana AKILI NA MAARIFA, Hawawezi kufanana na ninyi Weusi mnaoitwa Manyani huko duniani

Muisrael ana teknolojia kubwa sana na Exposure ya Dunia tangu enzi na enzi
Wale watu ni wazungu au Arabs
 
Hamas ni kikundi tu cha vijana wamejikusanya mtaani hata mgambo hawajacheza wanawezaje kupambana na marekani na israel? We Tanzania yako inaweza?
Kumbe ni panyaroad tu
 
Hamas ni kikundi tu cha vijana wamejikusanya mtaani hata mgambo hawajacheza wanawezaje kupambana na marekani na israel? We Tanzania yako inaweza?
Sio kikundi cha vijana ni magaidi ya kidini yaliyojificha kwa mlengo wa kupigania ardhi.
 
Wale watu ni wazungu au Arabs
Unamaanisha Wazungu wapi? Germanic, Gaelic au Latins?

Waisrael halisi wana vinasaba vya karibu na Uarabu kuliko Wazungu lakini sio Waarabu, kwasababu wana nywele nyekundu au za gold , ila kwa ujumla ni Watu weupe
 
Saitakuaje...🤔
Wenyewe walidanganywa kuwatukuuza waisrael kunafaida kupitia mungu wao asioshindika atawabariki lkn pia kunatatizo kubwa zaid ktk Est Africa waisrael kuna watu wanawatumia kama mtaji wakudhihilisha ukubwa wa mungu wao ndio mana awataki kabisa kusikia waisrael wakibezwa au kuwashusha hadhi yao kwao mwiko amtoelewana apo! utasikia mungu wa Israel!!!
 
Hii inategemea na mazingira uliyokulia. Hapo hapo kuna watu wanaamini waarabu ni watu wasio wa kawaida na pengine wao wako karibu zaidi na mtume.
 
Kwahiyo Nan kala hasara zaidi kati ya hamas na Israel na Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…