Kuna watu wanaamini Waisrael sio watu wa kawaida. Wanawakuza sana

Elewa mada. Wao ni watu wa kawaida tu. Mnawakuza sana. Ni wa kawaida kama wengine ndio maana hata kwenye mambo ya machafu ya kubinuliwa wanafanya tena wapo katika rank za juu
Kama kubinuliwa mbona hata hapa wanabinuliwa tu? Kwa hiyo unaona kubinuliwa kwa wayahudi tu lakini waarabu wanapodinywa unajifanya huoni?
 
Elewa mada. Wao ni watu wa kawaida tu. Mnawakuza sana. Ni wa kawaida kama wengine ndio maana hata kwenye mambo ya machafu ya kubinuliwa wanafanya tena wapo katika rank za juu
Wewe ndiyo unapanga rank za Ushoga? Utabisha lakini dunia nzima wanajua kuwa Wayahudi si kama wewe Mmatumbi mwenzangu!!
 
kama wanawakuza nenda kawachokoze,tusindikie mate na wakati wino tunao.
 
Waulize hao mabwana zako waarabu
Watu zaidi ya milion 400 nchi zaidi 15 zimekashindwa kanchi kenye watu chini ya milion 8 kwa zaidi ya miaka 60

Kama we unakichwa kigumu nimekuekewa picha! Blue Vs Yellow.
 
Attachments

  • D50AB689-3689-4180-8CC5-88A00E5D8BBD.png
    26.9 KB · Views: 2
Muisrael wa picha ya ndege kachafukwa pole mlokole waambie watakuelewa tu muisrael kwanza anyi au nadanganya!!!
 
Waulize hao mabwana zako waarabu
Watu zaidi ya milion 400 nchi zaidi 15 zimekashindwa kanchi kenye watu chini ya milion 8 kwa zaidi ya miaka 60

Kama we unakichwa kigumu nimekuekewa picha! Blue Vs Yellow.
NATO MARAKANI yote inapigana na Hamas Silaha mipesa mindege vifaru mizinga chakula maji umeme na wamewashindwa Hamas ukubwa wa mungu!!!!!!!!!!! Iyo Israel lini ilipigana peke yake!!! Jomba zile zilikuwa story watu walikuwa ndezi sana ndio waliamini ule ujinga. Mbona sasa kikundi tu cha Hamas lkn misaada inapitishwa uko MARAKANI mlokole wawapi muongo muongo ww!!!
 
kama wanawakuza nenda kawachokoze,tusindikie mate na wakati wino tunao.
Wewe sikia hamas awajai omba msaada lkn IDF ndio walisema inatafuta vijana tulidhani ww ndio ungeenda mlokole gani muogo ww sasa IDF Imeshindwa vita imekubali kufata matakwa ya Hamas ww unalialia kulazimisha ushindi upande ya Israel wanzenu uko Wamechutama taifa lao linaudhuni kubwa kushindwa na Hamas tulieni uho ni mwanzo tu Israel watakimbia na chup mkononi!!!!
 
Waulize hao mabwana zako waarabu
Watu zaidi ya milion 400 nchi zaidi 15 zimekashindwa kanchi kenye watu chini ya milion 8 kwa zaidi ya miaka 60

Kama we unakichwa kigumu nimekuekewa picha! Blue Vs Yellow.
Sawa
 
Atakaye ilaani Israel naye atalaaniwa atakaye ibatiki naye atabarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…