Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

Tangu Madame ameapishwa, nimejaribu kufuatilia, ukiacha zile siku ameenda Zanzibar kwenye mapumziko ya sikukuu ya Eid, siku zingine zote yupo ofisini anachapa kazi. Kwa hakika, KAZI INAENDELEA.
Naam Mkuu.

Bado sijaanza kumkosoa namtafutia angle lakini mpaka sasa nakosa
Muda wa kuwa ni mwanadamu hawezi kuepuka madhaifu. Makosa yapo, lakini yanafunikwa na mengi anayoyaendesha kwa weledi.
 

Na ukitaka ujue ubora wa kiongozi ni pale anapokosea na kukosolewa, ukiona anakataa ujue hapo hamna kitu
 
"Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea". Alisikika mheshimiwa Tundu Lissu enzi hizo akimwambia mwendazake.
Kongole kwa mheshimiwa Rais Samia Suluhu kutokana na namna anavyoongoza nchi. Husikii hali ya kukoromeana wala sauti ya ukali. Ila kazi zinaendelea.
 
Kwa hiyo aamke aende mawilayani kuzindua matawi ya benki na Sacoss?
 

Ohooo!
 
Samia anakamata Mwizi kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…