Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

Mkuu umeandika vizuri Ila umeadimika Sana siku hizi. Tuna miss makala zako
 
Mama ameamua kuruhusu watalaam wafanye kazi na siyo kupewa maagizo kama watoto wadogo
 
Mama, mama, mama, samia suluhu hassan.

Nimekuita mara tatu, ili kukumbusha tena mama, hawa chawa wana mambo yao wakikusifia kwa haiba hiyo, usidhani umepatia sana. Kama rais kuna sehemu unafeli vibaya sana, wanatumia udhaifu huo kukuzubaisha.
Kama una aibu ama uoga wa kimama, kazi hizo wakabidhi wanaokufatia kimamlaka, tena washushie mamlaka kamili utabaki salama hapo ikulu, vinginevyo haya machache tuliyokwisha anza kuyaona yataongezeka maradufu.

Hatutaki umfate mwendazake na falsafa zake, maana wewe ni rais mwingine kwa sasa, lakini usijedanganywa alikuwa mbaya jumla jumla, utapigwa.
 
Sasa kama kundi hili halina makosa umeandika uzi huu wa Nini? Wakati mwingine ni kuchoshana tu
 
Kama kelele zinaamsha waliolala ilikuwaje wakala wa ndege wakahamishiwa Magogoni,ilikuwa 1.5tr ikakosa majibu,ilikuwaje upigaji mwingine ukaendelea?
Tujenge mifumo imara sio viongozi imara.Mifumo ikiwa imara hata chizi anaweza kuendesha nchi bila kuiingiza kwenye majanga
 
Na ndivyo inavyotakiwa.

Ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kukuaminisha basi jua mtu huyo ni TAPELI
Afu utapeli wa kiduanzi, mwendakuzimu alikuwa bonge bonge la tapeli, hana tofauti na mcheza filamu za ngono gwajima.
Hawa wafuasi wa BwanaJehanamu wanamuandama sana Dellilah na serikali yake
 
Acha kujipendekeza. Kama anapiga kazi, muda ni mwalimu mzuri. Hakuna haja ya trumpets.
 
Afu utapeli wa kiduanzi, mwendakuzimu alikuwa bonge bonge la tapeli, hana tofauti na mcheza filamu za ngono gwajima.
Hawa wafuasi wa BwanaJehanamu wanamuandama sana Dellilah na serikali yake
Mwendazake bwana heri ameondoka mapema tu. Tungelimia lami sisi wapenda amani na maendeleo
 
Kunawatu wengine mnavisa vya ajabu eti uongozi wa kmya kimya... Unanilazamisha nikuamini... Halafu unaponda utawala ulio pita... Mama kisha feli wee subiri the time will tell wizi madawa ya kulevya uzembe kazini kudharauliana ujambazi n. k vinarudi kwa kasi akili ni yangu macho ni yangu na uamuzi ni wangu binafsi mama kapwaya sana. Hiyo siyo siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…