Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

mwendazake alikuwa kwenye kampeni miaka 5 is a sababu hakuwahi kushinda uchaguzi wowote. SSH hana pressure anajenga nchi kimya kimya
 
Upo sahihi sana mkuu 🙏 💯 perfect! Watu wamezoezwa kudanganywa ujinga. Magufuli aliteka tv zote ziwe zinamuonesha yeye tu anaongea ujinga.
 

Kama kashafeli kwa mtizamo wako kuna shida yoyote?
 
Mama sio mshamba
Ila mitandao inamshughulisha sana hadi anashindana au kuwakoa watu wa mitandaoni mfano issue ya waziri wa fedha, sasa sijajua kama huo ni ushamba nao,ujaja uliyopitiliza au ni tabia za kike tu.
 
Mama ni mama hana makuu hata kama hatujashiba hatulalamiki maana kwanza hatufokei, na anamaanisha kweli kwamba hana ubaya na mtu
 
Kwa mamlaka rais aliyopewa na katiba, hakuna sababu za yeye kubwata hovyo. Hizo ni dalili za kukosa mwelekeo
 
Pongezi kwake mama. Tanzania inajengwa kwa kufanya kazi na sio utapeli.Utapeli wa kodi.Utapeli wa mali za watu wasio na hatia. Utapeli na mali ya umma.
Ili Tanzania ikae sawa lazima wote tufuate sheria na taratibu tulizojiwekea
 
Wachawi huwa wana tabia ya kulia kwa makelele sana misibani ili waoneshe uchungu na wema wao kwa wafiwa!! Wachawi hulia na kuapiza katika misiba ili mtu mwingine ashikwe mchawi mbadala wao!! Wachawi hujua kuchonganisha matajiri na maskini...
 
Naona ,bila mipasho ya kike ,haujatulia.Naona umebakiza jina tu ,namba ya simu umeacha baada ya kuona hauteuliwi .Na utaendelea kupoteza muda kujaza page huku ukiandika upupu tupu bila kuteuliwa.
 
Style zote zilizowahi kutumiwa na Watawala wetu, Hakuna hata style moja ambayo kwayo, tuliipenda kuikubali!

Awe mtu alijifungia huku akichapa kazi, hatukuwai kuona kuwa inatufaa, iwe kutokuwepo nchini Kwa siku nyingi kuliko siku za yeye kuwepo nchini, tuliona ni wizi tupu, style ya kuonekana kwenye luninga kila wakati, Nayo hatukuipenda, tuliona ni kama mtu anataka aonekane yeye tu...!

Mwandishi, unataka kutuletea wimbo uleule ambao hatukuwahi kuiona kama ulitufaa, hakuna wimbi mpya hapa,

Kwa sasa tunataka style mpya na namna nyingine ya kudili na vichwa vya kibongo
 
K
Kazi iendelee!Kufanyakazi kwa vitendo ndo ufsnyaji kazi wa makini,watu wanaona matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…