Kuna watu wanakula utadhani wanahamisha upande wa pili.

Kuna watu wanakula utadhani wanahamisha upande wa pili.

Kimazingira
•Upatikanaji wa Chakula Kingi: Katika mazingira ambapo chakula kinapatikana kwa urahisi na kwa wingi, watu huwa na uwezekano mkubwa wa kula kupita kiasi.
Hii sababu ni 100%
Wasukuma wamejaza nafaka ndani kuliko hela
 
Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Ulafi,ama wengine wanatia kwenye fuko chini ya meza ili baadae abebe.
 
Tulikuwa naye 'power Mwamgiga', anakula ndoo ya wali ya lt10, galoni la maziwa, mkungu wa ndizi na creti la soda ndiyo anashiba.

Soda anafungulia ukucha.

Akitaka kubeba maji, ni pipa mbili zinajazwa halafu mzega wa kubebea ni mwamba wa nguzo za simu za Ttcl, mwanaume anaondoka nazo.

Gari mbili anazizuia kwa mkono mkavu.

Chai yake ni chai ya maziwa birika zima na mkate unakatwa kati kati kwa mkono unafinywa na kusokomezwa mdomoni, hataki silesi!

Mgekutana na mtu wa hivyo, mgelimwandika kwa kulalamika na kujaza server.
.mhhhmh.! mkuu hapa umezidisha chumvi acha kutufunga kamba bhana duuuh.!
 
Njoo huku shinyanga uone watu wanavyokupigia ugali
 
Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Siyo rahisi sahani 7.
 
Back
Top Bottom