eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
- #21
We unajuaje ni yangu binafsi we unajua nimenukuu wapi?Acha kusingizia Mungu kwa mambo yako binafsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajuaje ni yangu binafsi we unajua nimenukuu wapi?Acha kusingizia Mungu kwa mambo yako binafsi.
We unajuaje ni yangu binafsi we unajua nimenukuu wapi?
Imeandikwa kila mtu atakufa kwa mtindo wake aliopangiwa wa kuuawa na panga, bunduki, ajali, tetemeko, mafuriko ya mvua, kuanguka, upepo mkali, yote ni mipango ya Mungu kila mtu atachukuliwa kimpango wakeMfano, siku hizi gari inapata ajali watu wanasema ni kazi ya Mungu kweli!?
Je , huyo Mungu ndiye aliendesha gari kwa mwendo kasi!?
Wengine wanasema kazi ya shetani, je, shetani alimtuma LT akaropoke kuhusu q400 na nyaraka za siri za serikali!?
Ulipoyatoa hapahusiki bali mantiki ndiyo inahitajika.
Imeandikwa kila mtu atakufa kwa mtindo wake aliopangiwa wa kuuawa na panga, bunduki, ajali, tetemeko, mafuriko ya mvua, kuanguka, upepo mkali, yote ni mipango ya Mungu kila mtu atachukuliwa kimpango wake
We unaweza kuona kwa macho yako ni mwendo kasi au uzembe wa kutolikagua gari lakini ni siku ya watu kufa imefika so ni lazima ajali itokee
Na katika ajali hizo wale ambao hawakupangiwa kufa siku hiyo watajeruhiwa tu
Iwe furaha iwe huzuni iwe chuki iwe kisasi yote Mungu alishayapanga kupitia shetaniMfano, siku hizi gari inapata ajali watu wanasema ni kazi ya Mungu kweli!?
Je , huyo Mungu ndiye aliendesha gari kwa mwendo kasi!?
Wengine wanasema kazi ya shetani, je, shetani alimtuma LT akaropoke kuhusu q400 na nyaraka za siri za serikali!?
Ulipoyatoa hapahusiki bali mantiki ndiyo inahitajika.
Iwe furaha iwe huzuni iwe chuki iwe kisasi yote Mungu alishayapanga kupitia shetani
Imeandikwa pia Mungu alituambia kwa neno lake ole wenu nchi na Bahari maana shetani amewajieni akiwa na ghadhabu kuu kwa sababu anajua muda wake uliobaki ni mfupi ufunuo 12/12
So yote ni mipango ya Mungu huwezi kusema ni uzembe bali ni mpango wa Mungu
Imeandikwa pia mpingeni shetani nae atawakimbia
Cha muhimu ni kuendelea kumuomba Mungu atupe uwezo wa kupambana
Waambie waache kumsumbua shetaniahaaa! sasa kama amekupangia basi ni moja kati ya mungu ambae hawatendei haki watu wake! inamaana kuna watu amewapangia kwenda motoni na wengine peponi maana si unaishi kwa kupangiwa na yeye.. sasa kama anawapangia kwanini mnamghasighasi shetani wkt mungu wenu ndo amewapangia toka mwanzo wako mpk mwisho wako..?
Waambie waache kumsumbua shetani
Kama anapanga kila kitu kwa mwanadamu kwanini asitupangie mazuri kila mtu afurahi?Kama Mungu ameumba kila kitu kilichopo kinachoonekana na kisichoonekana unawezaje kusema Mungu Hapangi lolote kwa binadamu
We ni wa Mungu au shetani?Mmmmmmmh, ndiyo maana sitaki hizi dini uchwara za wazungu koko na warabu pori zinawafundisha huu ujinga.
Waambie waache kumsumbua shetani
We ni wa Mungu au shetani?
Nimesema yote ni mipango ya MunguMmmmmmmmhh
Hapa kuna vitu unavisingizia mara Mungu ooh oooh shetani.
Shetani anatimiza mpango wa Mungu tu ndio maana nasema yote ni mipango ya MunguWaambie waache kumsumbua shetani
Na Mungu hayupo au sioKweli wanamuonea sana, by the way Mimi najua hakuna shetani.
Mungu si amteketeze shetani wake? Katuumba na madhaifu na shetani bado yupo anategemea nini?Nimesema yote ni mipango ya Mungu
Tulipokosea sisi binadamu ni kumkubali shetani ambae Mungu alimtimua huko aliko mwanzo 3/1-5
Mikosi tumejiletea wenyewe kwa kumkubali shetani awe mshirika wetuKama anapanga kila kitu kwa mwanadamu kwanini asitupangie mazuri kila mtu afurahi?
Unapangiwa mikosi kila siku, hata ujitahidi vipi hali ni ngumu tu. Huyu Mungu ana nia gani hasa? Kwanini anaangalia watu wakiteseka tena wengine ni innocest kabisa hajishughulishi kuweka mambo sawa?
Lini tulimkubali huyu shetani? Kosa afanye adam na hawa tuadhibiwe binanamu wote mpk leo?Mikosi tumejiletea wenyewe kwa kumkubali shetani awe mshirika wetu
Mungu atakachofanya ni kutuadhibu sisi pamoja na huyo shetani kwa ukaidi
Na huu ndio mpango wa Mungu
Basi nikuhakikishie we ni wa Mungu mkuu alieumba kila kitu na ana mpango juu yako kuhusu kila unachokifanyaKweli wanamuonea sana by the way Mimi najua hakuna shetani.
Mimi naishi, hizo mambo sizijui.
Shetani alikuja duniani akamkuta binadamu so kosa la binadamu ni kumkubali shetani na kumfuata angempinga angesepa zakeMungu si amteketeze shetani wake? Katuumba na madhaifu na shetani bado yupo anategemea nini?
Either amuondoe shetani au atuondolee madhaifu aliyotuumba nayo.
Shetani kwa sasa yuko gerezani akisubiri miaka 1000 itakapotimia afunguliwe ajione yuko huru akawakusanye wenzake wote kuingia vitani na Mungu na hapo ndipo watakapoangamizwa ufunuo 20/7-10Mungu si amteketeze shetani wake? Katuumba na madhaifu na shetani bado yupo anategemea nini?
Either amuondoe shetani au atuondolee madhaifu aliyotuumba nayo.