eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
-
- #61
Ndio maana tunaambiwa kwa binadamu kila kitu ni kigumu ila kwa kumuomba Mungu kila kitu ni rahisiHuu Muungano ni mipango ya mungu. Mungu anauwezo wa kuondoa hii hali.
Na pia elewa kuwa binadamu hapendi kutenda dhambi bali ni jinsi alivyoumbwa ndo humfanya atende.
Huwezi kuniambia usimtamani mwanamke asie mke wako hlf hapo hapo umeweka kitu tamaa ndani mwangu nikiona msambwanda kitu kinasimama. Tunaoneana bure tu
Usichanganyikiwe ndio maana nakuambia mipango ya Mungu ni tofauti na binadamu tunavyowazaUnanichanganya.
Huna hoja ya kutetea.Usichanganyikiwe ndio maana nakuambia mipango ya Mungu ni tofauti na binadamu tunavyowaza
Kuifuata dhambi sio mpango wa Mungu bali ni makosa yetu sisi kwa kukubali kudanganywa na shetaniKuifata dhambi ni mipango ya mungu pia. According to you!
Siku hiyo utajua mwenyewe tu wapi anakaaMmmmmh, anaishi wapi!?
Hivi wewe ni wa Mungu au shetaniHuna hoja ya kutetea.
Mimi ni wa Mungu, ingawa sometimes ananichanganya.Hivi wewe ni wa Mungu au shetani
Siku hiyo utajua mwenyewe tu wapi anakaa
Mimi ni wa Mungu, ingawa sometimes ananichanganya.
Ha haaa..Mungu yupo. Ila hizi theories za wanadamu juu ya Mungu hazipo sawa.Mimi sielewi vya sir god wala mr devil nasikia tu kuwa wapo wote wawili.
Ha haaa..Mungu yupo. Ila hizi theories za wanadamu juu ya Mungu hazipo sawa.
Huwezi kusema we ni wa Mungu huku ukikiri anakuchanganyaMimi ni wa Mungu, ingawa sometimes ananichanganya.
Na hutaki kupoteza muda wako kuwajua vizuriMimi sielewi vya sir god wala mr devil nasikia tu kuwa wapo wote wawili.
We umejuaje hazipo sawa wakati Mungu alijifunua wazi kwa binadamu yeye ni naniHa haaa..Mungu yupo. Ila hizi theories za wanadamu juu ya Mungu hazipo sawa.
Mungu yupo na shetani yupoYaani, Mimi wananichanganya hadi nikagundua tu kuwa vyote viwili ni man made and nothing else.
Hoja unayo lakini kuitetea umeshindwaWe umejuaje hazipo sawa wakati Mungu alijifunua wazi kwa binadamu yeye ni nani
Ndo utueleweshe vizuri tumueleweHuwezi kusema we ni wa Mungu huku ukikiri anakuchanganya
Ukimjua Mungu vizuri hawezi kukuchanganya
Mungu yupo na shetani yupo
Mmoja anaimarisha na mwingine ni mmbomoaji
Kazi kwako kuamua nani wa kumfuata
Ila ujue tu Mungu amemuumba pia shetani so ni uamuzi wako yupi umfuate
Ndo utueleweshe vizuri tumuelewe
Kashindwa kutetea hoja yake, kakazana ni mipango ya mungu, how? Jibu hanaTunaomba utueleweshe Mimi [HASHTAG]#poise[/HASHTAG] na [HASHTAG]#demi[/HASHTAG] .
Sasa, Mungu alimletaje na kumuumba shetani ili atutese na Mungu huyo ana nguvu!?
Kwa nini tuwe na matatizo ambayo Mungu anaweza kuyasitisha tukaishi bila kuwa navyo!?