Kashindwa kutetea hoja yake, kakazana ni mipango ya mungu, how? Jibu hana
Na hizi dini ndo zinatupotosha. Mimi siamini kwenye dini ingawa huwa nashiriki mara chache kutokana na misukumo ya binadamu. Vitu vingi havina uhalisiaBinafsi huwa najihoji kuwa na dini ila mambo mengi sana yanakosa majibu mubashara basi naamua kuacha.
Ukizingatia, haya majibuya huyu mleta Uzi ndiyo ayo hayo hutolewa humo kwenye dini zote yaani hayana uhalisia kabisa.
nikumbuka maajabu ya suleimani kwenye muhubiri kitabu nakipenda sana kileKila kitu huwa kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake :
Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa,
Wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa,
Wakati wa kuua na wakati wa kuponya
Wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga
Wakati wa kulia na wakati wa kucheka
Wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza
Wakati wa kutupa mawe na wakati wa kuyakusanya
Wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia
Wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza
Wakati wa kuhifadhi na wakati wa kutupa
Wakati wa kurarua na wakati wa kushona
Wakati wa kukaa kimya na wakati wa kuongea
Wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia
Wakati wa vita na wakati wa amani
Usije ukafikiri kinachokutokea ni kwa bahati mbaya iwe furaha iwe huzuni yote ni mipango ya Mungu
Furaha yako inaweza kugeuka kuwa huzuni na huzuni yako kuwa furaha
Yote ni Mungu anakupangia
Muhimu ni kuendelea kuomba kwa alie juu juu kabisa
Na hizi dini ndo zinatupotosha. Mimi siamini kwenye dini ingawa huwa nashiriki mara chache kutokana na misukumo ya binadamu. Vitu vingi havina uhalisia
utamlaumu bure huyo mungu wa kufikirika mkuu, mazuri na mabaya yote ni nature ya universeKama anapanga kila kitu kwa mwanadamu kwanini asitupangie mazuri kila mtu afurahi?
Unapangiwa mikosi kila siku, hata ujitahidi vipi hali ni ngumu tu. Huyu Mungu ana nia gani hasa? Kwanini anaangalia watu wakiteseka tena wengine ni innocest kabisa hajishughulishi kuweka mambo sawa?
Simlaumu. Namshangaa mtoa madautamlaumu bure huyo mungu wa kufikirika mkuu, mazuri na mabaya yote ni nature ya universe
kikubwa watu tutimize wajibu wetu na tupendane ili kuifanya dunia iwe sehemu salama kuishi, otherwise kila mtu apambane na hali yake!
utamlaumu bure huyo mungu wa kufikirika mkuu, mazuri na mabaya yote ni nature ya universe
kikubwa watu tutimize wajibu wetu na tupendane ili kuifanya dunia iwe sehemu salama kuishi, otherwise kila mtu apambane na hali yake!
Kimoja tu jiulize we ulitokea wapi na nani alikuleta hapa duniani ukijua hilo vingine ni rahisi kuvielewaNdo utueleweshe vizuri tumuelewe
Nimetoka tumboni kwa mwanamke ambae ni mama yangu.Kimoja tu jiulize we ulitokea wapi na nani alikuleta hapa duniani ukijua hilo vingine ni rahisi kuvielewa
Naona unaelekea kukataa haujui ulikotokea
Huyu anayeitwa shetani alikuwa malaika wa cheo kikuu tu huko mbinguniTunaomba utueleweshe Mimi [HASHTAG]#poise[/HASHTAG] na [HASHTAG]#demi[/HASHTAG] .
Sasa, Mungu alimletaje na kumuumba shetani ili atutese na Mungu huyo ana nguvu!?
Kwa nini tuwe na matatizo ambayo Mungu anaweza kuyasitisha tukaishi bila kuwa nayo!?
Huyu anayeitwa shetani alikuwa malaika wa cheo kikuu tu huko mbinguni
Tamaa ya kutaka na yeye afanane na alieumuumba ndio ilimponza kwa kuwa alitaka na ye aabudiwe ilitokea vita kuu huko aliko Mungu kati yake na malaika mwingine aitwae Mikaeli na huyu Mikaeli alishinda vita hiyo so ndio chanzo cha huyu lusifer na wenzake kutupwa duniani na kabla ya kuifikia dunia alipita sayari mbalimbali na huko alipingwa vibaya kiufupi walimkataa
Lakini sisi wa duniani tukaukubali uongo wake na hapo ndipo tulipojiletea matatizo wenyewe ufunuo12/7-9
So sio kweli eti Mungu alituletea matatizo bali matatizo haya tumeyakaribisha wenyewe
Hoja yangu iko wazi mbonaKashindwa kutetea hoja yake, kakazana ni mipango ya mungu, how? Jibu hana
Kwa hiyo we huamini Mungu amekuumbaBinafsi huwa najihoji kuwa na dini ila mambo mengi sana yanakosa majibu mubashara basi naamua kuacha.
Ukizingatia, haya majibuya huyu mleta Uzi ndiyo ayo hayo hutolewa humo kwenye dini zote yaani hayana uhalisia kabisa.
Sijaleta mada ya dini hapa nazungumzia Mungu alieumba mbingu na dunia wakati huo hata dini hazikuepoNa hizi dini ndo zinatupotosha. Mimi siamini kwenye dini ingawa huwa nashiriki mara chache kutokana na misukumo ya binadamu. Vitu vingi havina uhalisia
Kwa hiyo we huamini Mungu amekuumba
Popote uonapo fujo ni kazi ya shetani kwa sababu shetani alishaapa watu hawatamfuata Mungu muumbajiKweli, mkuu.
Nimewahi kwenda sehemu moja mtu akafika watu tumekaa akasalimu watu wa dini yake tu kwa kuwapa mkono kwa kuvuka wasio dini yake.
Yaani, Tanzania ii hii, siku hiyo nilitmani nimzabe vibao vya uso ila sheria ya nchi hairuhusu mtu kujichukulia sheria mikononi.
Ila dini na waumini wake, wanaudhi sana wakati mwingi ukiangalia vile wanatenda mambo ya kipuuzi.
Any way, ndiyo ujinga ambao wakoloni waliuleta ili tugawanyike na kuchukiana sisi kwa sisi.
Maana, kama Mimi [HASHTAG]#poise[/HASHTAG] sina dini sasa hapa nilipo wenye dini zote wananichukia.
Pia, wenye dini zao nao ila zimetofautiana majina nao wanachukiana kwa sababu ya majina ya hizo dini kutofautiana.
Mfano, waisalmu wanawachukia wakristo, sasa waislamu wasuni wanawachukia waislamu washia
Bado tena unakuta na kwa wakristo wale wa Roman Catholic wanachukiana na KKKT, Walokole. Yaani; dini ni uwanja wa fujo.
Yaani, dini ni ujinga juu ya upumbavu tuliolishwa.
Cc.[HASHTAG]#demi[/HASHTAG],
Bila dini hizo sheria za Mungu ungezipata wapi? Mungu unayemjua wewe ndo huyo uliyefundishwa kanisani.Sijaleta mada ya dini hapa nazungumzia Mungu alieumba mbingu na dunia wakati huo hata dini hazikuepo
Kama humuamini Mungu atakulazimisha umuamini
Huamini yupo atakuonyesha kwamba yupo
Maana hivi sasa binadamu tunajiamulia tu amri za Mungu hatuzifuati kabisa
Hatumwabudu Mungu bali tunamwabudu shetani kinyume kabisa na Mungu muumbaji
Tusizini tunazini
Ili mradi tu tuko sambamba na shetani
Ukinishangaa mimi maana yake unamshangaa na Mungu piaSimlaumu. Namshangaa mtoa mada
Rudi nyuma kwa mtiririko binadamu wa kwanza alitokea wapiNimetoka tumboni kwa mwanamke ambae ni mama yangu.
Amzuie wakati alipokuja tulimkubali wenyeweKama Mungu, ana nguvu ni kwa nini basi asimzuilie au amfunge watu wasipate mateso !?
Kwa hiyo Mungu, anafurahia watu kuteseka!?
Je, kwa nini maombi na sala za watu zisiwe na nguvu ya kumuondoa shetani kabisa asije tena katika maisha ya wanadamu.
Any way , Mungu na shetani wote ni Sawa tu kwa sababu , kama watu wanateswa na shetani na Mungu anaangalia tu sasa hapo unawatofautishaje hao wawili kama wote mambo yao yote siyo Sawa!
Kwa nini , Mungu asiondoe tamaa ya dhambi kwa wanadamu ili wasimfuate au wasishawishiwe na shetani!?
Kama Mungu, anamzidi shetani kwa nini hadi wafuasi wa huyo Mungu wanapatwa na majanga ambayo wewe unasema yanaletwa na shetani , kwa nini Mungu asiwateteee!?
Naomba usome vizuri hayo maswali yangu na unijibu nielewe labda naweza nikajiunga na dini ila ukishindwa ndiyo basi tena.
Cc.[HASHTAG]#demi[/HASHTAG].