Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Basi ingekuwa rahisi kuzipata angekuwa ashatajwa kwenye list ya mabillionea, lakini hayumo kwenye list ya maceleb ambayo ni mabillionea. According to sources in 2020 alipata $105 millions kabla ya taxes.
Wakati makampuni ya azam pesa yanayospend kwa kuingia mikataba yanazidi hiyo pesa kwa mwaka.
Ronaldo ndiyo anaingiza pesa ndefu lakini bado siyo billionea. Same to bakhresa official report hazimtaja kama billionea.
Ipo siku mtakuja sema ronaldo ana pesa kuliko aliko dangote
 
Ronaldo ana prospects kubwa ya kuwa billionea kabla ya bakhresa, sasa kwani hizo hela za udhamini wa ligi azam kazitoa cash? Yeye pia si anakopa na anaingia mikataba mikubwa kama ya ligi kuu ili aitumie kuongeza credit score zake apate mikopo ya kuaminika zaid na mabenki hivi wabongo mbona hamna akili hivi? Hata mimi ukisainisha mkataba wa longtern na tff hata kama sina cash nitapewa tu na mabenki zingine nitalipa taratibu zingine nitazungusha hebu kuweni na akili japo tone.

Yani mimi ni secure tv right za ligi kuu kwa miaka 10 kuna benki haitanitaka? Hata kama sina mia mfukoni ntatoboa vibaya sana.
 
Lakini ndo hajawa huyo ronaldo bado hajawa na huenda asiwe mpaka anastaafu mpira.
Bakhresa siyo mtu wa mchezo kabisa unadhatau hizi faida zake za shilingi mia mia, lakini ana uhakika wa kuwauzia zaidi ya watz milion 7 kila siku kwa faida ya mia mia ni pesa inaflow tu.
Bakhresa group inamiliki one of the largest milling company zimbabwe waliinunua mwaka 2015.
Ni vile Africa watu hawapendi kuweka mapato yao hadharan
 
Ronaldo ana miaka 35, ameshavuka peak ya career yake, unless ni genious wa biashara hawezi double utajiri wake, Beckham alikuwa hivi hivi kabla ya Ronaldo na mpaka leo anacheza around $450m.
 
Ronaldo ana miaka 35, ameshavuka peak ya career yake, unless ni genious wa biashara hawezi double utajiri wake, Beckham alikuwa hivi hivi kabla ya Ronaldo na mpaka leo anacheza around $450m.
Kabisa mkuu unless hiyo pesa aje kuidouble kwenye biashara tofaut na hapo kama ulivyosema itakuwa ngumu.
 
Unaongelea kampuni ambayo ina wafanyakazi elfu kadhaa ina management cost za kupanda na kushuka, market fractuations, Taxes, loses etc. Nani kakuambia kampuni kwenda zimbabwe ndo inatengeneza faida? Tofauti na unavyozani wewe huenda Azam wanapata hasara ya kufa mtu kama kampuni kwani umeyaona yale malori yao mercedes mtaani sikuhizi? Sasa Ronaldo kama individual hana loses za namna hiyo labda apate skendo. Tena ni kwa vile ana endorsement zinazomzuia kuingia mikataba na biashara zinazofanana ila nikuhakikishie yule mwana ukiacha mahoteli anayojenga morocco na portugal, yuko na access ya Cash hakuna mfanyabiashara bongo anayo. Consortium anayoweza ku assemble ya billionaires hakuna mfanyabiashara bongo anaruhusiwa hata kuzamia. Ana lifetime earnings za over $1b. Kwa jina lake akiachana na mikataba inayomfunga kwa sasa kuingia mikataba ya kumpush kwenye $b ni rahisi sana tena sasa hv ana turnover ya $115million kwa mwaka sizani hata kama Mo anagusa hiyo.
 
Ukisoma kwasasa estimation ya utajiri wa bakhresa kama bakhresa kila source inataja kiasi chake lakn wote ni beyond 500$ milion. Nasema bakhresa siyo kampuni maana kampuni kila source inaitaja kama ni worth more than 1 billion dollar
 
mkuu unajiaibisha tu kila unavyoongea, atapewa mkopo kiasi gani na hizo tv rights? atafanya biashara gani itakayomuingizia faida bilioni 200 miaka 10? club zote za ligi kuu zijumlishe hazina thamani ya huo mkataba ni benki gani itakayotoa mamia ya mabilioni ama trilioni kwa ajili ya club za ligi kuu?

na Ronaldo akimaliza mkataba wa juve hakuna club itakayotoa pesa ndefu kumlipa mshahara atakuwa na miaka 38, mchezaji mpira akipotea kwenye ulimwengu wa soka na pesa nayo inapotea, wengi hawana akili za maisha.

ukitaka kujua hilo google utajiri wa retired athletes, wengi wameporomoka vibaya mno, wawili tu toka dunia iumbwe ndio mabilionea na wao wenyewe ni wameanzisha biashara?michezo baada ya kustaafu, Mfano mc mahon ambae ni CEO wa WWE.

na ukitoa wamarekani ni Beckham ndio ana ukwasi zaidi, na si Bilionea ana around $640m, hapo bado anashikwa sana mkono wa mke wake.
 
Najiaibisha kivipi mkuu? Kwaiyo mimi unipe tv right za ligi kuu miaka 10 kweli hakuna benki itanipa hela nianzishe king'amuzi changu maana nimeshikilia mechi zote kwenye tv kwa miaka kumi? Kweli 300billion itakua ni ishue mzee mkwawa kweli. Au na wewe unataka tu kunibishia. 10 years nitakosa consortium ya advertisers onboard kuwa convince lenders seriously?
Sielewi hata unaongelea club unamaanisha nini? Club hazilipii kuonekana kwa TV advertisers na pay per view ndo wanalipia. Kumbe wewe siyo mfanya biashara ni nerd.
 
Wana akili ya uchumi, hao wachezaji wakistaafu soka baada ya muda mfupi wanaanza kutafuta kazi za kuwa makocha au sports analysts au hata kuwa scouts.
Maisha ya gharama waliyoyazoea huwa yanawamaliza fasta ndiyo maana hujikuta wanahaha kutafuta kazi, endorsements na matangazo huisha pindi career yao ya kutandaza kabumbu inapoisha.
 
mkuu bilioni 300 ni faida hio ni hela unazilipa club, kwa baishara zetu za kibongo bongo hapo unaweza hitaji hadi trilioni na upuuzi, nani akupe huo mkopo kwa dhamana ipi?

maana mkopo ukishindwa kulipa uwe na asset inayo kubackup, unaitoa wapi hio asset?
 
nimesoma mpaka mwisho....itoshe kusema wakuu Mna Moyo Na Muda wa kupoteza
 
Aisee unapojiona mjuaji kuona wengine washamba kumbe wewe ni bonge la shamba, kwaiyo G Wagon siyo SUV? Nzi kama nyie sijui mnakurupuka kutokea vyoo gani yaani.
Kwanza unaelewa magari yenye muundo wa SUV? Unaelewa kwanini imeitwa G Wagon yani pamoja na kukurahisishia kuiita Wagon umeshindwa kujua kama hiyo ni Mercedes Benz yenye muundo wa station Wagon..ndio maana nkakutoa akili tangu mwanzo nilijua hakuna unalolijua SUV na station wagon ni vitu viwili tofauti..body type aina ya SUV ni kama Harrier,Murano n.k While Station Wagon ni hizo Mercedes benz G wagon tafuta picha google huko uangalie utofauti..hapa chini hiyo Rav ni SUV na G wagon hapo chini ni Station Wagon body type



 
Kama unazani Azam walitoa hiyo idea kwa mzee bakhresaa utakua limbukeni sana bro. Kuna Football management firms duniani usizani mzee na wanawe wamekaq wakasema oyaa tff tuingie mkataba. Bro kuna watu wamefanya hizi ishu miaka mia. Hii ni hela ndogo sana ila kuna watu wametuweza hata sisi kwenye business community Tz. Kwani wewe hizo 1 trillion miaka 10 unazionaje na hujui chochote? Kuna watu wako ulaya na washapanga miaka 10 ijayo mchezo utachezwa wapi na hela wataipata wao.
 
Duh ukiskia kichaa kakosea dozi ndo wewe
 
Duh ukiskia kichaa kakosea dozi ndo wewe
Kubishana na wewe ni kama kujitoa ufahamu..haya umeshinda kaka..Jamiiforums siku hizi ina watu wana mihemko sana kuliko facts vijana sijui mna tatizo gani
 
Naona hata aibu kwa niaba yako umeposti hadi picha za Sports Utility Vehicles SUV unasema ni ma utopolo gani mwenyewe sijui yaani napambanq na makapwela ya kila namna kwenye posti zangu
 
Kubishana na wewe ni kama kujitoa ufahamu..haya umeshinda kaka..Jamiiforums siku hizi ina watu wana mihemko sana kuliko facts vijana sijui mna tatizo gani
Mi unajua hata kukujibu wewe naona uvivu.
 
Kubishana na wewe ni kama kujitoa ufahamu..haya umeshinda kaka..Jamiiforums siku hizi ina watu wana mihemko sana kuliko facts vijana sijui mna tatizo gani
Sijui mkapa,Kikwete au magu ndo kasababisha haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…