Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Basi ingekuwa rahisi kuzipata angekuwa ashatajwa kwenye list ya mabillionea, lakini hayumo kwenye list ya maceleb ambayo ni mabillionea. According to sources in 2020 alipata $105 millions kabla ya taxes.Mnaongea vitu vya kipuuzi sana as if sisi hatufanyi biashara na climate ya biashara ilivyo bongo hatuijui. Eti wahindi.kwani unafikiri wahindi biashara zao wanauzia majini au wanauzia watu kama tunaouzia sisi? Hivi unajua $500 million dollars kwa ronaldo zilivyo rahisi kuzipata kwa jina alilo nalo tofauti na kazi ya kuwauzia wabongo maji na energy. Hakuna mtu hapendi kumiliki private jets bongo sema ugumu uko kwa jinsi ya kupata hiyo hela. Nimeenda mimi india hao wahindi wana private jets kama zote matajiri wa kwao mtu pekee najua bongo yuko vizuri kutoa $70million kununua private jet kama ya ronaldo kwa mbaali ni bakhresa kwa tabu sana hao wengine upupu kama hela zao ni za majini ila siyo kwa uchumi wetu huu.
Wakati makampuni ya azam pesa yanayospend kwa kuingia mikataba yanazidi hiyo pesa kwa mwaka.
Ronaldo ndiyo anaingiza pesa ndefu lakini bado siyo billionea. Same to bakhresa official report hazimtaja kama billionea.
Ipo siku mtakuja sema ronaldo ana pesa kuliko aliko dangote