Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Mi unajua hata kukujibu wewe naona uvivu.
Huwezi kujibu kwakuwa hujui body type za magari zinakuwaje umepuyanga kuiita G wagon ni SUV..Endelea na mambo yako mengine ila hapa umepuyanga kubali
 
Huwezi kujibu kwakuwa hujui body type za magari zinakuwaje umepuyanga kuiita G wagon ni SUV..Endelea na mambo yako mengine ila hapa umepuyanga kubali
Kwaiyo kwa akili yako G wagon ni station wagon kama toyota wish? Au subaru forester? Kweli wewe boya. G wagon ni Sport utility vehicle sawa na Range rover na Toyota V8. Hebu kabishaneni kwenye kurasa za washamba wenzako. Au hilo neno wagon kwenye G 63 ndo limekupeleka chaka?
Kuna majitu yanakuja kubishana na mtu mwenye akili ili yasifiwe yameweza kubishana kumbe mavilaza ya kutupwa.
 
Hivi mbona kuna watu Matajiri wengi tu hapa Tz ambao Wana Utajiri kushinda Hata Ronaldo, Wote hawa kina MO, Rostam, Marehemu mengi, Bakhresa etc Wana Utajiri kushinda vipesa vinavyozungumziwa humu kila siku.
Changanya hela za mo,bakhresa,rostam,gharibu hawamfikii ronaldo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mondi hata iweje huwezi mfananisha na CR7 labda Mama yake azidi kuroga na kumuua Ronnie. Mondi anafananishwa na wasanii wa kibongo tu kwani hata hao wa Nigeria hajawafikia bado labda hawa wadogo kama kina Simi.
 
Mkuu instagram huna hoja. Af ni kama una ka roho flan kenye asili ya kichawi.
Wenzio wanapambana na kupiga hatua af ww ambae hata hujulikani, unajaribu kuwamisvalue....
Au umeishiwa mbinu mkuu,. Subiri siku mondi akipost kanunua passo au vitz ndo umsifu, hio rolls achana nayo bro.
 
Changanya hela za mo,bakhresa,rostam,gharibu hawamfikii ronaldo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Huu[emoji116]utajiri wa Ronaldo ni pesa ndogo sana, na akiacha mpria endorsements na adverts vitakatika hivyo 2yrs after retirement ataanza kutafuta kazi nyingine ili aweze ku survive.
Lifestyle ya wachezaji huwagharimu sana na hata baada ya retirement huwa wataka kuikakamia, imagine running costs za private jet na hizo posh cars pate kibarua kitakapoisha, don't forget he is 35 na umri huo ki mpira ni mzee.
All in all pesa yake ni ndogo kwa hao matajiri mnaojaribu kumlinganisha nao.
Check his worth[emoji116]
 
Michael Jordan?
 
Kwaiyo kwa mawazo yako hao unaowahusudu utajiri wao ndiyo una uhakika? Kwani kina bakhresa biashara zao haziyumbi? Unafikiri wao hawana running costs, hawalipi mishahara, material costs and scarcity, taxes, corona, umafikiri hayo makampuni ni kama yako mbinguni hayayumbi wala hayawapi stress ehh? Mmekalia kuorodhesha mabiashara ya wahindi ohh sijui korosho, mashamba sijui zimbabwe hivi mnazani kila biashara ina faida tu anzisheni basi na nyie. Hawa wahindi kuna makampuni hayawaingizii faida kabisa zaidi ya hasara sema wanakompesate mwenye zingine na zingine wanafunga na mihasara kama yote sema nyie mmekalio kuorodhesa mabiashara ya wahindi mnajaza kurasa nzima. Kama ni hivyo hao kina mo wangekua wamenunua ma private jets na ma private Yatch siku nyingi.

Manara kashakuambi Mo ni tapeli hana lolote anashindwa kuweka mzigo wanaume kina azam wanaweka mzigo anaishia kuona wivu tu na ubilionea wake wa kujipachika.
 
Take a chill pill and calm down, sijaongelea biashara yoyote ya MO au ya Bakhresa. Hata kama wana kampuni zinaingiza hasara lakini they're billionaires.
Maneno ya Manara ni maneno na mbwiga yoyote anaweza kuropoka kama Manara, pale Simba aliajiriwa kwa kazi ya kuropoka and he was the very right choice na bado yuko kwenye momentum ya kuropoka kama ilivyojidhirisha.
Umeshawahi kujiuliza kwa nini hakujawahi kutokea soccer player billionaire mpaka sasa? Mishahara yao, advertisements na endorsements zote lakini hajawahi kutokea billionaire. Kwanza kodi yaani kuna nchi kodi ni mpaka 40plus percent, gharama za maisha yao na makampuni mengi makubwa yanawaghilibu kwa kuwakopesha sports cars, private jets kwa kuwa nchi nyingi si kama Bongo mambo ya kununua hata vitu vya thamani kwa kulipa cash.
Kwa kifupi si sahihi kulinganisha utajiri wa billionaire na utajiri wa millionaire.
 
Kaa ujue mo siyo billionea ni tapeli tu kampuni siyo ya kwake peke yake ni biashara ya azim dewji na gulamhusein dewji na ndugu zao, mo ni mtoto tu wa moja wa real owners ambaye ni mtendaji sema ni kawaida yao kumfanya aonekane kama ya kwake ili aonekane billionea ila wakigawana hisa hachukui hata $100m sasa sijui unamfananishaje na ronaldo, we duniani kuna billionea gani hajui hata private jet ikoje ndani? Afadhali hata unitajie bakhresa au gsm kidogo nitakuelewa ila siyo mo, janja janja yule anaagiza hadi mchele mbovu tapeli yule, wafanyakazi hawalipi vizuri.
 
Tumia akili hata kiduchu, Magu alivyokuwa mkatili hivi Mo ahonge kuitwa Trillionea alafu isifananie na tax records zake kule TRA??
 
Tumia akili hata kiduchu, Magu alivyokuwa mkatili hivi Mo ahonge kuitwa Trillionea alafu isifananie na tax records zake kule TRA??
Kwani mtu kuhonga uandikwe trillionaire kunahusiana vipi na kazi za TRA? Wao si wanakagua mahesabu ya kampuni kwani mo analipa kodi au kampuni Ltd ndo inalipa kodi? Alafu mo si anachangiaga kampeni ccm kwani aliwahi kusema haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa? Hata wewe ungetaka uende kuhonga uandikwe billionea sizani kama unakosa.

Hiyo billioni 20 tu ya simba tu kidogo imtoe roho miaka sita, akicheki wanaume wa Azam wanamwaga billioni 320, billioni 34, sijui kawapigia magoti baba zake?
 
Inaonekana unaifahamu familia ya kina dewji kwa undani sana. Umewazidi hadi Forbes kwa ufukunyuku.

Kwa hiyo kwenye list yako hapo ya matajiri wa bongo kati ya gsm, baresa, mo na diamond nani wa kwanza
 
Inaonekana unaifahamu familia ya kina dewji kwa undani sana. Umewazidi hadi Forbes kwa ufukunyuku.

Kwa hiyo kwenye list yako hapo ya matajiri wa bongo kati ya gsm, baresa, mo na diamond nani wa kwanza
Kamuulize babaako.

Wewe umeona kuna ofisi ya forbes hapa bongo? Forbes africa wana contributor moja Mfonobong Nsehe yuko south unamtumia nauli anakuja kuandika habari zako unamuweka Kempiski unamlipa posho anarudi zake kwao unategemea atoe wapi taarifa kama hakuna hata Info za walipa kodi TRA za uwazi. Ndo mana kina mengi na dewji wakatumia fursa kujipa umaarufu kwenye fontifedi za Forbes.

Utakua unamatatizo sana ya upofu kama unaamini kweli mo anahela kuzidi bakhresa.
 
Sijui hayo mengine ila mo revenue kubwa ingharamikia mikopo na assets ambazo anaweka ni zile anazoomba bure serikalini huu ugomvi wake mkubwa na magufuli alipewa onyo akatishiwa kuchukuliwa mali zote za metl group kama mali za serikali zitachukuliwa na Bank za njee anakokopa ndio family yake ikaanza jikomba jikomba
 
Mbona unakuja juu mzee. Kam dawni[emoji1787]

Forbes waongo, hawawezi kuwa accurate.

Wewe mkweli sasa ndio nakuuliza kwenye list yako nani wa kwanza nani wa mwisho kati ya baresa mo lonado na diamond bila kusahau na jieshiemu
 
Mo anapenda kujibrand kama billionea ili apate mikopo kirahisi benki za nje kunamtu aliuliza kuhusu magu atakua amepata jibu lake hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…