Kuna watu wanapata like humu za ajabu

andika ujumbe wenye akili na ulioshiba maneno ya kujenga hoja usika wenyewe watagonga like, ila ukiandika uzwazwa usitegemee kupata like.
Hizo ndo kabisa usitegemee wachangiaji... watasoma na kusepa ila andika hapa habari za umbeya uone comments na like za kumwaga
 
hahaha hahaha hii hali inakuja kutokana na ubest flani ivi,, kama unazitaka nawe uwe mtu kucoment za watu mara kwa mara,,
 

Principal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…