Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rafiki habari, hope u goodSehemu ambayo ni ngumu kupata like ni jukwaa la Siasa.
Kuna watu huwa hawapati like kabisa kisha ni waunga mkono upande fulani.
Japo nimechelewa kuona huu uzi ila ni vizur ukatimiza ahadi yakoLeo mambo ni fireee simba wakifunga napost picha yangu jf
ThubutuJapo nimechelewa kuona huu uzi ila ni vizur ukatimiza ahadi yako
Hata hii ya zamani kipindi gari za kisasa zinapaki hapo haha acha kugugo wewe
Ingia uzi huu mkuu kama unazihitaji hizo Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"....
Hizo ndo kabisa usitegemee wachangiaji... watasoma na kusepa ila andika hapa habari za umbeya uone comments na like za kumwagaandika ujumbe wenye akili na ulioshiba maneno ya kujenga hoja usika wenyewe watagonga like, ila ukiandika uzwazwa usitegemee kupata like.
Kila kitu kiko gado kabisa...Wameshakuletea mewani eeh?
Wakupe na ugoro Babu
Dah...kumbe...Ni pongezi.
Dah...🙂Nikubonyeza kitufe au kidule pale kwenye neno LIKE! Au nimekosea mkuu!!?
ThubutuuuAngetuma ningemzawadia akipendacho maana ingekuwa na bahati ya amtende uzi wangu kuwa na sura ya Demiss
Kuna ubest jfhahaha hahaha hii hali inakuja kutokana na ubest flani ivi,, kama unazitaka nawe uwe mtu kucoment za watu mara kwa mara,,
Sijaelewa quote yako juu ya comment yanguHuko hamna kitu... lengo si kupata like za bure nikupata like pale unapotema madini like za haki na si like fake
Hahahahahahaaaaaaaa.
Kuna mwingine alisema uzi wake unabuma baadhi ya member wakicomment.
Mnachekesha sana aisee.
Likes japo maana yake halisi ni ''Kupongeza" mimi naitumia pia kama kumpa mtu ujumbe kuwa nimepita sehemu aliyopita yeye na yeye akija kuangalia notification ya like niliyompa ataweza kuja kusoma nilichokiandika pia.
Afu sikuhizi nimekua na tabia moja ya kuangalia who liked tu sijui kwanini
Niko salama salimini, hofu kwakorafiki habari, hope u good