Kuna watu wanapata like humu za ajabu

Kuna watu wanapata like humu za ajabu

andika ujumbe wenye akili na ulioshiba maneno ya kujenga hoja usika wenyewe watagonga like, ila ukiandika uzwazwa usitegemee kupata like.
Hizo ndo kabisa usitegemee wachangiaji... watasoma na kusepa ila andika hapa habari za umbeya uone comments na like za kumwaga
 
Hahahahahahaaaaaaaa.

Kuna mwingine alisema uzi wake unabuma baadhi ya member wakicomment.
Mnachekesha sana aisee.

Likes japo maana yake halisi ni ''Kupongeza" mimi naitumia pia kama kumpa mtu ujumbe kuwa nimepita sehemu aliyopita yeye na yeye akija kuangalia notification ya like niliyompa ataweza kuja kusoma nilichokiandika pia.

Principal
 
Back
Top Bottom