Kuna watu wanapata like humu za ajabu

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenikumbusha niliiba nyama nikaingia uvunguni nimejificha kichwa miguu nje nikaishia kutandikwa fimbo na mdingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimekupa like ili uwe nazo nyingi nawe ili uridhike maana sijui umewaza kitu gani mpaka ukaona like ina umuhimu kiasi icha kuziandikia uzi aya sasa jisikie furaha mana una like sita tayari basi fungua champain ili tufanye kasherehe aaaa
Kibinadamu unavyotoa kitu unachoamini ni pointi halfu watu wakachunia inaonekana kama kilaza Fulani mwisho wa siku unaacha kabisa kutoa michango yako humu.. Ina maana mkuu like si kitu kidogo
 
Chief bila shaka wewe ulikuwa fb ila umekuja huku umekuta mambo tofauti,sio kwa povu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…