Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenikumbusha niliiba nyama nikaingia uvunguni nimejificha kichwa miguu nje nikaishia kutandikwa fimbo na mdingi
usisahau kunitag [emoji1][emoji1]Leo mambo ni fireee simba wakifunga napost picha yangu jf
HahahWozaaaaa ngoja niweke
HahahaWachaaaaa weeeeee.
Jirani kumbe meficha Makinikia eeehh hatushtuani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kibinadamu unavyotoa kitu unachoamini ni pointi halfu watu wakachunia inaonekana kama kilaza Fulani mwisho wa siku unaacha kabisa kutoa michango yako humu.. Ina maana mkuu like si kitu kidogoNimekupa like ili uwe nazo nyingi nawe ili uridhike maana sijui umewaza kitu gani mpaka ukaona like ina umuhimu kiasi icha kuziandikia uzi aya sasa jisikie furaha mana una like sita tayari basi fungua champain ili tufanye kasherehe aaaa
HahahaHuyo aliyekuonesha Tayar ameshakuwa msaliti[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nikimkamata atachezea bakoraaaa
MmmhhHahaha
Naanzaje kukushtua sasa
HahahaYeye kasema anatuma nyingine aliejeuka kabisa kama za wale wa huko insta[emoji23]
Ewaaaa...hizo hizo,Hahaha
Zile za kuonyesha neema za Allah?! Niko nayo mojaaa
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenikumbusha niliiba nyama nikaingia uvunguni nimejificha kichwa miguu nje nikaishia kutandikwa fimbo na mdingi
Chief bila shaka wewe ulikuwa fb ila umekuja huku umekuta mambo tofauti,sio kwa povu hiloKitu nimekigundua hii JF kuna watu hata wa comment ''ahahahha'' yaani wacheke ama hata kuweka nukta tu kwenye comment zao wanakula like za kutosha.
Namaana gani? like zinatoka kwa kufahamiana na umaarufu na siyo pointi ama hoja atoazo mtu.. mwingine hata aandike pointi kiasi gani raia wanapita kama hawaoni tetteteehh..
Like za hivi zinaenda sana kwa Ke sijui ndo njia mpya ya kupata attention kutoka kwao. wanaJF kuweni fair kutoa like..
Ewaaaaa22 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Upo sana jamaniMmmhh
Ujirani mwema kumbe haupo tena.
HahahaEwaaaa...hizo hizo,
Haha namuona upande wa pili kule katupia mdada mmoja hiviHahaha
Demiss njoo hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha namuona upande wa pili kule katupia mdada mmoja hivi