Kama kusoma hujui hata picha huoni?Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka sana safari ya siasa.
Kinachowaashangaza watu hawa ni kuona hauchi kunakucha na taifa linasonga mbele kama vile hakuna kilichotokea. Ilikuwa October 2025 uchaguzi ulifanyika na sasa ni April 2026, miezi 6 sasa hakuna hili wala lile kwa viongozi hawa wakuu 3. Watavizia kama fisi anavyovizia mkono wa binadamu udondoke autafune.
Wanasubiri Samia kasema nini, nchimbi kasema nini na mwigulu kasema nini ili waseme "amemsema yeye".
Wanawachonganisha wapigane, tunalijua hilo, tafuteni lingine.
Uchawa wako ni ujira wa buku 7, huwezi kujua hayoNani kakwambia Samia atagombea 2030? Kama atagombea hata mimi nitampinga.
Mjomba Mama Khafidh anarudi tena, awamu yake ndio ameianza 2025.Nani kakwambia Samia atagombea 2030? Kama atagombea hata mimi kavulata nitampinga.
Ninachoipendea CCM inaongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo hata kama wengine wanasema ina mapungufu. Mama huyu mwanamke na mzanzibar hawezi kuzidisha hata dk 5 kwenye uongozi. Viongozi wakora wanaoweza kutamani kufuta ukomo wa Urais ni wanaume. Wanaanza kidogokidogo kwa kuwatuma watu wao waliseme jambo hilo kama utani na mzaha huku wakiupima upepo, nao hujifanya kama vile hawataki lakini hawawakemei watu wao waliolisema kama utani. Wakiona upepo mzuri anatumwa mtu alipeleke rasmi bungeni kama hoja kamili ya kuondoa ukomo wa uRais, na ulijuavyo bunge letu utasikia ndiyoooooooo!!!, Kisha jamaa atasingizia "wananchi walitaka".Mjomba Mama Khafidh anarudi tena, awamu yake ndio ameianza 2025.
Sisiem ipi hiyo ..... Hii ya Wahindi na waarabu.Ninachoipendea CCM inaongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo hata kama wengine wanasema ina mapungufu. Mama huyu mwanamke na mzanzibar hawezi kuzidisha hata dk 5 kwenye uongozi.
Kaka CCM haina mwenyewe. Haina dini, jinsia, kabila wala kanda; inahudumia watu wote au haihudumii watu wote bila kubagua dini, mkoa, kabila wala jinsia ya watu. Kama hebu piga picha kama chadema ndio iliyokuwa inatawala nchi hii, tema mate chi!!!.Sisiem ipi hiyo ..... Hii ya Wahindi na waarabu.
Kaanzie pale Dodoma ...Mzee Tezi dume alipoamua kunyonga hicho kijitabu wazi wazi.
hao wapiga ramli wanaota ndoto za mchana gentleman.Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka sana safari ya siasa.
Kinachowaashangaza watu hawa ni kuona hauchi kunakucha na taifa linasonga mbele kama vile hakuna kilichotokea. Ilikuwa October 2025 uchaguzi ulifanyika na sasa ni April 2026, miezi 6 sasa hakuna hili wala lile kwa viongozi hawa wakuu 3. Watavizia kama fisi anavyovizia mkono wa binadamu udondoke autafune.
Wanasubiri Samia kasema nini, nchimbi kasema nini na mwigulu kasema nini ili waseme "amemsema yeye".
Wanawachonganisha wapigane, tunalijua hilo, tafuteni lingine.
Nawashangaa watu hawa na vijinenoneno vyao. Dunia nzima kushika nafasi ya Rais, makamu wa Rais na Waziri mkuu ni bahati sana na inatosha saaaana kuishi maisha ya duniani hapa. Sioni haja wala hoja ya watu wazito hawa eti kupigana vijembe kwasababu ya kuutaka urais 2030. Nijuavyo mimi wote hawa watakaa kitako kumchagua mtu atakaekuwa Rais ajae (sio miongoni mwao) kupitia tiketi ya CCM.hao wapiga ramli wanaota ndoto za mchana gentleman.
Chemistry ya uongozi wa Dr.Samia, Dr.Nchimbi na Dr.Mwigulu, hakuna porojo za kuisamabaratisha.
Ukipenda chongo utaita kengeza.Kwani kuna jambo gani la wananchi limekwama hadi uone hiyo picha? Hilo ni pepo baya, kaliondoe haraka, la sivyo litakudhulu mwenyewe.
Kundi hilo hilo lina yule mwanasheria wa CHADEMA Nshala na kina Mange na wanaharakati wa nje pia wamo humo.Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka sana safari ya siasa.
Kinachowaashangaza watu hawa ni kuona hauchi kunakucha na taifa linasonga mbele kama vile hakuna kilichotokea. Ilikuwa October 2025 uchaguzi ulifanyika na sasa ni April 2026, miezi 6 sasa hakuna hili wala lile kwa viongozi hawa wakuu 3. Watavizia kama fisi anavyovizia mkono wa binadamu udondoke autafune.
Wanasubiri Samia kasema nini, nchimbi kasema nini na mwigulu kasema nini ili waseme "amemsema yeye".
Wanawachonganisha wapigane, tunalijua hilo, tafuteni lingine.
Wapasuane tu we don't careKuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka sana safari ya siasa.
Kinachowaashangaza watu hawa ni kuona hauchi kunakucha na taifa linasonga mbele kama vile hakuna kilichotokea. Ilikuwa October 2025 uchaguzi ulifanyika na sasa ni April 2026, miezi 6 sasa hakuna hili wala lile kwa viongozi hawa wakuu 3. Watavizia kama fisi anavyovizia mkono wa binadamu udondoke autafune.
Wanasubiri Samia kasema nini, nchimbi kasema nini na mwigulu kasema nini ili waseme "amemsema yeye".
Wanawachonganisha wapigane, tunalijua hilo, tafuteni lingine.
Hivi wewe unaongelea Nchi gani ?Kaka CCM haina mwenyewe. Haina dini, jinsia, kabila wala kanda; inahudumia watu wote au haihudumii watu wote bila kubagua dini, mkoa, kabila wala jinsia ya watu. Kama hebu piga picha kama chadema ndio iliyokuwa inatawala nchi hii, tema mate chi!!!.
Uzuri wa CCM hata wanaCCM na wasiokuwa wanaCCM, walioipigia kura CCM na ambao hawakuipigia kura wote hali yetu inafanana kabisa; maduka yaleyale, daladala lilelile, shule zilezile, hospitali zilezile, na kama kulala na njaa ni kulekule wote. Zawadi yetu kubwa ni amani na mtulifu unaotuwezesha kuzitumia fursa zilizopo bila kujali kabila, itikaadi ya siasa, dini, jinsia wala dhehebu la mtu. Hii ndiyo tofauti ya CCM na vyama vingine vyote Afrika.