Kuna watu wanapenda Samia, Nchimbi na Mwigulu wagombane na wasiaminiane, waepukwe kama ukoma

Kuna watu wanapenda Samia, Nchimbi na Mwigulu wagombane na wasiaminiane, waepukwe kama ukoma

Wala sio uongo tunatamani yapigane ikiwekezekana yanyonyane damu..!!
Hujui vita vya panzi ni furaha kwa kungulu?
 
Damu za watu waliowaua October 29 zinazidi kuwachanganya.
Hakuna damu ya mtu inayomchanganya mtu kwa taarifa yako, kinachowachanganya ni kutumia fedha za watanzania wote kukarabati, kujenga na kulipa fidia vilivyoharibiwa na wahuni hawa. Kinachowaumiza kingine ni kuona waliopanga mpango ule wako hai na wamekufa watu wengine waliotumiwa na wahuni.
 
Mleta mada, unajulikana kwa upumbavu wako; kwa hiyo haishangazi tena kuleta mada hapa ya kipuuzi kabisa ikida uwepo wa "kuaminiana" kwenye kundi la majambazi

Hata kama usingekuwa unajuwa maana ya "kuaminiana"; huwezi kuhusisha kuwepo kwa kuaminiana katika kundi la watenda maovu dhidi ya watu wanaowatawala.

Hawa hawana tofauti sana na tabia walizonazo fisi.wakati wanapogombea mizoga.

Ni dhahiri, msukumo uliokufanya ulete mada hii hapa ni kumlinda huyo mfugaji wako Samia Suluhu Hassan.
Unajuwa wazi kabisa, bila ya hao wawili hali ya huyo anayekutupia makombo kama nguruwe hali yake itakuwa ngumu zaidi.
Kuwa Rais sio lelemama, mama anaupiga mwingi sana. Mtabaki kusemaweeee mwisho 2030 paaap!! hamna cha kuwaonyesha wala kuwaeleza wananchi wawaelewe, mtabaki tena no reforms no erection.

Kwenu huu ungekuwa muda wa kueneza upendo na sera mbadala za kuendesha nchi hii. lakini mmebaki palepale pa Samia, nchimbi, Mwigulu, GAG, mauaji, Lissu, na visivyowasaidia watanzania. Kwani nani hajui kwamba chadema walitaka kumpindua Samia wakashindwa? Hilo msipoteze muda wenu nalo kwakuwa watanzania na dunia nzima inalijua hilo kama hivyo. Ndiyo maana Tanzania haijatengwa kimataifa na inazidi kunawili. Dunia yote iko Hormuz.
 
Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka sana safari ya siasa.

Kinachowaashangaza watu hawa ni kuona hauchi kunakucha na taifa linasonga mbele kama vile hakuna kilichotokea. Ilikuwa October 2025 uchaguzi ulifanyika na sasa ni April 2026, miezi 6 sasa hakuna hili wala lile kwa viongozi hawa wakuu 3. Watavizia kama fisi anavyovizia mkono wa binadamu udondoke autafune.

Wanasubiri Samia kasema nini, nchimbi kasema nini na mwigulu kasema nini ili waseme "amemsema yeye".
Wanawachonganisha wapigane, tunalijua hilo, tafuteni lingine.
Wataje hao watu ...
 
Hakuna damu ya mtu inayomchanganya mtu kwa taarifa yako, kinachowachanganya ni kutumia fedha za watanzania wote kukarabati, kujenga na kulipa fidia vilivyoharibiwa na wahuni hawa. Kinachowaumiza kingine ni kuona waliopanga mpango ule wako hai na wamekufa watu wengine waliotumiwa na wahuni.
Kwa mujibu wa Polepole na wewe ni mhuni
 
Kuwa Rais sio lelemama, mama anaupiga mwingi sana. Mtabaki kusemaweeee mwisho 2030 paaap!! hamna cha kuwaonyesha wala kuwaeleza wananchi wawaelewe, mtabaki tena no reforms no erection
Wewe hujui hali ngumu anayopitia Samia Suluhu Hassan, kwa sababu unachoweka mbele ni maslahi tu ya masalia toka mezani kwake; ukiwa kama nguruwe mfugwaji tu!
Kwa hiyo usije hapa na kujipa ujuaji wa hali ngumu inayomkabili.
Wewe unalilia 2030; wakati yeye kishaharibu matumaini ya maisha yake yote kubeba mzigo wa damu ya waTanzania aliyomwaga kwa sababu tu ya kuwaridhisha nyinyi mnaomtegemea.

Samia hana maisha tena.

Na kama unajidanganya kuwa atafika 2030; wakati kila sekunde inayopita inamlazimu ajiulize amewezaje kubaki salama! Ile mitutu uliyoielezea kabla haijatumika kumwaga damu ya waTanzania; ni hiyo hiyo itakayomwaga ya nguruwe kama nyinyi.
Kwenu huu ungekuwa muda wa kueneza upendo na sera mbadala za kuendesha nchi hii. lakini mmebaki palepale pa Samia, nchimbi, Mwigulu, GAG, mauaji, Lissu, na visivyowasaidia watanzania. Kwani nani hajui kwamba chadema walitaka kumpindua Samia wakashindwa? Hilo msipoteze muda wenu nalo kwakuwa watanzania na dunia nzima inalijua hilo kama hivyo. Ndiyo maana Tanzania haijatengwa kimataifa na inazidi kunawili. Dunia yote iko Hormuz
Wahalifu wote mahali popote duniani, wajibu wao ni kuwajibishwa.
Samia Suluhu Hassan ni muhalifu na lazima atawajibishwa.

Hawezi kujivua uhalifu wake kwa kutafuta njia za kuwasahaulisha aliowafanyia uhalifu.

Matamanio yako ya hayo unayotaka wewe, yatatimia tu na Samia mhalifu pamoja na kundi lote aliloshirikiana nalo kufanya uhalifu litawajibishwa.
 
hizi lakini dunia iko na Samia
Ni wazi kichwani mwako hazikutoshi ukiamini kuwa dunia inakubali mtu mwovu kama Samia anayeua waTanzania ili abaki kwenye madaraka kwa nguvu. Mtu laghai kabisa, tena asiyekuwa na kiwango chochote cha kuwa na sifa ya uongozi.
 
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom