Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo maana kipesa za haki hamna mtu anaewafikia hao watu Kwa wote mliochomewa viduka vyenu nyie ni machawa wa ccm na mtafikiwa Kila mnapoendeleza uchawa.
 
Ukichomewa biashara au mali yako na waandamanaji jiulize uhusiano wako na wanasiasa, jiulize usiano wako na jamiii
 
K
Ukichomewa biashara au mali yako na waandamanaji jiulize uhusiano wako na wanasiasa, jiulize usiano wako na jamiii
Kabisa mkuu maana matajiri wakubwa mo na Bakhresa hawajachomewa hata boksi la biskuti
 
Kuchoma biashara za watu ni ushamba tu.

Mbona hawajaenda kuchoma makazi ya wanasiasa wenyewe? Hawajui wanapoishi?

Sasa hivi tunavyohangaika kukwepa maeneo lami iliyochomwa barabarani ni kero!
 
 
Kuchoma biashara za watu ni ushamba tu.

Mbona hawajaenda kuchoma makazi ya wanasiasa wenyewe? Hawajui wanapoishi?

Sasa hivi tunavyohangaika kukwepa maeneo lami iliyochomwa barabarani ni kero!
Jiulize kwanini walichomewa maduka ujue wanasapoti au wanaungana na watekaji na wauwaji wa ccm hivyo kazi imefanyika vizuri
 
Kuchoma biashara za watu ni ushamba tu.

Mbona hawajaenda kuchoma makazi ya wanasiasa wenyewe? Hawajui wanapoishi?

Sasa hivi tunavyohangaika kukwepa maeneo lami iliyochomwa barabarani ni kero!
Mbona wamechoma ? Hukusikia wamepita kwenye nyumba na makazi
 
Watakuja kukuambia hao waliwaogopa kwa sababu ni masonic Watz hawakosi vijambo.
 
Back
Top Bottom