Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo.
Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye mshahara, eti wadau kunani huko kuserikali mbona walisema mama hana shida na swala la madaraja ya watumishi?
Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye mshahara, eti wadau kunani huko kuserikali mbona walisema mama hana shida na swala la madaraja ya watumishi?