Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Wakurugenzi matumbo jotrooo😂Malizaneni kwanza na pepmis kwa sasa kazi ni ngumu kweli kweli
Pepmis inasumbua hata ukiwa na simu yenye 7G serikali ya hovyo sana hii kuparamia mambo bila kuzingatia mazingira ya watu wake na miundombinu inayo wazunguka, hovyo sana viongozi wa hii nchi.Malizaneni kwanza na pepmis kwa sasa kazi ni ngumu kweli kweli
Mtumishi aliye fanyiwa Recategorization 2020 anaweza kupanda mwaka huu??Ndg wa 2021 mei wote kupanda 2025 mei mbon hesabu ndogo tu hyo, hadi miaka 4 mkuu