Kuna Watumishi wasiyo na sifa wanakaimu nafasi ya Wakuu wa Idara kwenye Halmashauri kwa muda mrefu wakati wenye sifa wapo

Kuna Watumishi wasiyo na sifa wanakaimu nafasi ya Wakuu wa Idara kwenye Halmashauri kwa muda mrefu wakati wenye sifa wapo

Mkuu, ukuu wa Idara kwenye Halmashauri mtu anatakiwa awe na cheo cha Mwandamizi na pia uwe na uzoefu usiopungua miaka 7 katika kazi hiyo.

Masters ni sifa ya ziada na sio ya lazima. Hivyo ikiwa kuna mtumishi ana masters lakini hana uzoefu wa miaka 7 kazini, basi mtu huyo anakuwa amekosa sifa za kuwa mkuu wa idara, lakini ikiwa mtumishi ana uzoefu wa miaka 7 lakini ana degree na wakati mwingine hata diploma tu, anakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa mkuu wa idara baada ya kupita hatua za upekuzi.

Hata kukaimu ofisi, Katibu Mkuu wa TAMISEMI anapaswa kumkaimisha ofisi mtumishi mwenye sifa za kuwa mkuu wa Idara ili pindi miezi 6 itakapopita na hajapatikana mkuu kamili wa Idara, basi huyu aliyekaimishwa athibitishwe rasmi kuwa mkuu wa Idara. Haipaswi tu kumkaimisha mtumishi yoyote.

Wengi unaosema kuwa hawana sifa huwa wanakaimishwa na barua za wakurugenzi wa Halmashauri na sio za Katibu Mkuu wa TAMISEMI, na barua za Mkurugenzi huwa hazina uwezo wa kutumika kumthibitisha anayekaimu ili awe mkuu kamili wa idara.
Mkuu, katika Halmashauri, mtu aliye katika nafasi ya Mkuu wa Idara anapaswa kuwa na cheo cha Mwandamizi na uzoefu wa angalau miaka 7 katika kazi hiyo.

Ingawa kuwa na shahada ya uzamili ni sifa ya ziada, si lazima. Hivyo, ikiwa mtumishi ana shahada ya uzamili lakini hana uzoefu wa miaka 7, basi hana sifa za kuwa mkuu wa idara. Kwa upande mwingine, mtumishi mwenye uzoefu wa miaka 7 lakini ana digrii au hata diploma tu, atakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa mkuu wa idara baada ya kupitia mchakato wa upekuzi.

Kuhusu kukaimu ofisi, Katibu Mkuu wa TAMISEMI anapaswa kumkaimisha mtu mwenye sifa zinazohitajika kwa mkuu wa idara. Hii ni muhimu ili, endapo miezi 6 itakapopita bila kupata mkuu kamili, mwenye kukaimu aweze kuthibitishwa rasmi. Hatuwezi kumkaimisha mtumishi yeyote bila kuzingatia sifa.

Wengi wanaosema kuwa hawana sifa mara nyingi wanakaimishwa kwa barua kutoka kwa wakurugenzi wa Halmashauri, ambazo hazina nguvu ya kumthibitisha anayekaimu kuwa mkuu kamili wa idara.

Mfano mbaya ni wa Afisa Elimu wa Msingi wilaya Siha, Kilimanjaro, aliyekuja kuwa afisaelimu wilaya za mkoa wa Manyara, akitokea walimu wakuu na kupatiwa nafasi ya uafisa elimu wilaya.

Ni muhimu kufuatilia mchakato wa uteuzi wake ili kuona kama alikidhi vigezo.
 
Hili siyo jungu ni uhalisia kabisa, huko kwenye Halmashauri zetu ili uwe mkuu wa idara shart moja wapo inatakiwa uwe na Master degree,

Sasa imetokea kuna halmashauri watu wasio na sifa wanakaimu kwa muda mrefu wakati wenye sifa za kushika hizo nafasi wapo labda wangeweza kupatikana kupitia ajira portal au taratibu zingine za uteuzi.

Tunaiomba serikali yetu kuliona hili swala kimapana zaidi ili kuongeza uwajibikaji kwa hawa Watumishi wetu.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mubariki Rais wetu 🇹🇿
una tamaa tu labda kwa vile umetoka masters unadhan ndio utakua unajua kila kitu bila uzoefu. sasa kuna afisa mwenzio ana uzoefu wa miaka 20 uje wewe tu juz na m.a unataka kukaimu nasaa nyingine ukiandila doezo linarud kusahihishwa na huyo huyo afisa unayesema hana masters. mzee utakaimu ukionekana una sifa au laa nenda kwa mganga
 
Mkuu huna akili
 
Una misinterprete Mambo, shida yako huna akili unajua kila anayeleta maada hapa anafanya kazi serikalini au Anataka hcho cheo... pumbavu mkubwa we!
 
Attachments

  • IMG-20230408-WA0002.jpg
    IMG-20230408-WA0002.jpg
    87.5 KB · Views: 11
kushika hizo nafasi wapo labda wangeweza kupatikana kupitia ajira portal ......
Una maanisha mtu atoke kitaaa aje kuwa direct mkuu wa Idara???

Principle ya seniority unaijua ndugu yangu, au huko kitaa kwenu hamuitumii??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hizi nafasi Bora ziwe zinatangazwa kwenye ajira portal, hakuna halmashauri ingekuwa na mtu anayekaimu,
Ili uwe mkuu wa idara uwe senior kwenye utumishi wa umma na uwe na Masters hawa watu wapo
Huyo SENIOR kwenye ajira portal ANAPATIKANAJE??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Huyo SENIOR kwenye ajira portal ANAPATIKANAJE??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hivi rank ya mshahara hai determine junior/senior au na ww syo mtumishi Kama Mimi🤣
Hujawahi ona tangazo la ajira likitaja muombaji kuwa tgs H au Q
 
Mi naona watu wa kwanza ambao hawana sifa ya kuwa Bungeni ni Wabunge ndio maana wanakuja na sheria za ajabu ajabu muda mwingine wao wanatunga sheria harafu Wananchi wakipiga kelele na wao waliotunga hiyo sheria wanashangaa tena mpaka Rais aliesaini hiyo sheria ndio anaingilia kati..
 
Hivi rank ya mshahara hai determine junior/senior au na ww syo mtumishi Kama Mimi🤣
Hujawahi ona tangazo la ajira likitaja muombaji kuwa tgs H au Q
Seniority hupanda kutokana na muda kazini na muda unaupata unavyo endelea kuwa ndani ya utumishi wa umma.

Hiyo Seniority Ajira portal unaipataje???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hili siyo jungu ni uhalisia kabisa, huko kwenye Halmashauri zetu ili uwe mkuu wa idara shart moja wapo inatakiwa uwe na Master degree,

Sasa imetokea kuna halmashauri watu wasio na sifa wanakaimu kwa muda mrefu wakati wenye sifa za kushika hizo nafasi wapo labda wangeweza kupatikana kupitia ajira portal au taratibu zingine za uteuzi.

Tunaiomba serikali yetu kuliona hili swala kimapana zaidi ili kuongeza uwajibikaji kwa hawa Watumishi wetu.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mubariki Rais wetu 🇹🇿
Hii ni roho mbaya imekutawala,nature humuweka mtu mahala ambapo yenyewe imetaka, nature haitambui elimu wala madhaifu ya mtu,nature hufanya jambo dhidi ya mtu kwa makusudi, wenye elimu wangapi hawana msaada kwenye jamii? Wewe bango lako limetawaliwa na roho mbaya na wivu.
 
. Si utamteua yule aliye mchapakazi mwaminifu na mtiifu kwako sio??
Habari za kula vizuri na Mkurugenzi ni za kupakazia hazina uthibitisho.
Usiwe mbishi. Mara nyingi wakurugenzi huwa Wako bega kwa bega na wakuu wa Idara katika upigaji (ufujaji wa mali ya umma). Kwa mfano, halmashauri zote za Bunda (Town & DC) michezo hiyo huwa inafanyika Sana.

Tanbihi: kama haumani kwamba wakurugenzi wanashirikiana na wakuu wa Idara katika upigaji basi inawezekana na wewe uko kwenye orodha ya wapigaji.
 
Seniority hupanda kutokana na muda kazini na muda unaupata unavyo endelea kuwa ndani ya utumishi wa umma.

Hiyo Seniority Ajira portal unaipataje???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nimekujibu hapo juu kuwa, kwenye tangazo la kuomba kazi mtu anayejua akiangalia salary scale tu anajua kuwa hii nafasi inahitaji mtumishi Junior/senior,
Labda Kama hujui ajira portal ni Nini
 
Hii ni roho mbaya imekutawala,nature humuweka mtu mahala ambapo yenyewe imetaka, nature haitambui elimu wala madhaifu ya mtu,nature hufanya jambo dhidi ya mtu kwa makusudi, wenye elimu wangapi hawana msaada kwenye jamii? Wewe bango lako limetawaliwa na roho mbaya na wivu.
Pole Sana Leo jipime kisukari
 
Ww unataka uwe mkuu wa idara? Kuwa na Master degree is just one of the requirements. Vigezo vipo ni vingi na pengine ndo havijakidhi viwango
vinavyotakiwa.
Eti mtu ametoka chuo na masters anataka kuwa mkuu wa Idara. Hapana. Lazima uangaliwe na ufanyiwe vetting.
Hiyo masters degree yenyewe sasa!!!😀
 
Wako Hods wachache wabunifu, si wote ni watu wa tamaa. Kuna mashirika wana best Hods of all time, hods wengi wenye shida wilayani mjoani
Haimaanishi wabaya wote, so unapisemwa wote wafutwe? Umesha chunguza or ni assumption
Kwamba hatuishi nao? taja hata mmoja amebuni nini na yupo wapi?
 
Usiwe mbishi. Mara nyingi wakurugenzi huwa Wako bega kwa bega na wakuu wa Idara katika upigaji (ufujaji wa mali ya umma). Kwa mfano, halmashauri zote za Bunda (Town & DC) michezo hiyo huwa inafanyika Sana.

Tanbihi: kama haumani kwamba wakurugenzi wanashirikiana na wakuu wa Idara katika upigaji basi inawezekana na wewe uko kwenye orodha ya wapigaji.
Sijawa mbishi kivile ila mambo ambayo hayajathibitika sio vizuri kuyashikilia bango kwani ukiambiwa Ok; leta ushahidi hapa itakuwia ngumu.
Wakurugenzi wanapaswa kushirikiana sana na wakuu wa Idara kwani Timu hiyo kwa ukamilifu wake ndo Management Team ya Halmashauri.
Halafu sikatai hoja ya upigaji kwani mbona wapo wakurugenzi na wakuu wa Idara wamewahi kupandishwa kizimbani (Mahakamani) wakituhumiwa kwa makosa ya ufujaji?
 
Back
Top Bottom