Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 399
- 1,409
- Thread starter
- #481
bila uwezo wa MUNGU peke yangu siwezi ila nina imani Mungu atanisaidiaZawadi pekee ya mtoto wako kama wewe unaona kabisa sina utajiri mkubwa kama wengine wakubwa basi ni kumpa malezi Bora ya baba na mama.
Kuna raha ya mtoto wako kuona anapendwa Toka akiwa mdogo