professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Kwanza punda nisha panda kama yesu pia kobaz nimevaa kama yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yesu kapanda punda kilundu,wewe uko kwenye daladala huyooo kuwahi 40 ya mtoto[emoji23][emoji23].
ukileta ushabiki wa dini hutapata jibu sahihi zaidi ya kurefusha ligi hii
Wewe ni mkiristo unatumia bibilia nataka ushahidi katika biblia yako unaniambia shabikiukileta ushabiki wa dini hutapata jibu sahihi zaidi ya kurefusha ligi hii
Wote ni wawili mmeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini jana kuna nguchiro alituletea dictionary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ligi hapa ndio mahala pake,napenda ligi maana ina uwanja mpana wa kumvua mtume wa watu nguo na dini yake aliyopewa.
Kwanza punda nisha panda kama yesu pia kobaz nimevaa kama yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani nakuzidi kila kitu aya thibitisha hiyo ukristo kama ni Dini au swali limekua gumu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa Mazinge na Abdul Rogo unawaonaje fikra zao wewe.Kinyongo gani ? Zile cd za mazige na abdul logo nilitengeneza mimi
hata kama ukiletewa andika utachomoka tu, hamridhiki na maandiko nyie, mara lete andiko, mara thibitisha, mnarukaruka kama maharage yanayochemka sufuriani
Wote ni wawili mmeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini jana kuna nguchiro alituletea dictionary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ikiwa utaweza kuthibitisha tutaendelea kitambo tu nataka uthibitisho naona unahaingaikaUnanizidi kupanda punda na kuvaa kobazi kama Yesu[emoji23][emoji23] aisee wewe jamaa kilundu kweli kweli.
Swali la awali"dini ni nini"
Nipe jibu hapo twende sawa.
Toa andiko acha kelelehata kama ukiletewa andika utachomoka tu, hamridhiki na maandiko nyie, mara lete andiko, mara thibitisha, mnarukaruka kama maharage yanayochemka sufuriani
Sikulaumu itakuwa akili yako ni ya kuku , yaani nimekujibu mara mbili ukristo ni kitu gani basi . nakujibu mara ya tatuHuna akili mike,nimekuuliza ukristo ni nini???
Haya basi puuza hilo swali na jibu lake,twende kwa mtume.
Aliowaita alkitaabi ni watu gani??sitaki uwaite wakristo.
Ikiwa utaweza kuthibitisha tutaendelea kitambo tu nataka uthibitisho naona unahaingaika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jibu kwanza swali nililo kuuliza, utoto wa kukimbia maswali huwa siupendi maana ya mjadala inapotea hapa.Historia ipi inayoeleza Waarabu walianza lini na wapi?
Embu tupe andiko au kitabu chochote ambacho hakina makisio, yaani kinachosema Waarabu walianza Mwaka Fulani au walianzia Kwa MTU Fulani.
Kuhusu Wayahudi Historia Yao imeanzia Kwa Waisrael.
Kama swali lile ni gumu jengine hili tuambie lini Yesu aliingia kanisani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nguchiro kama yule aliyeshuka mapangoni na kuwaletea hii mnayoita dini ya mnyazimngu[emoji1787][emoji1787],wote wamekupeni vitabu,sema kwavile huyu mmatumbi mwenzako ukaona michosho.
Sikulaumu itakuwa akili yako ni ya kuku , yaani nimekujibu mara mbili ukristo ni kitu gani basi . nakujibu mara ya tatu
Ukristo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia Matendo 11:25
Hulaumiki labda ndio nyinyi Bwana yesu alisema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkiristo wa tatu wewe umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni DiniNajua umekuja kubishana nataka utoke kwenye huo upumbavu uwe mtu timamu,nakuuliza swali langu hujibu.
Mwanafunzi kiburi elimu yake ataipata kwa misukosuko sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama swali lile ni gumu jengine hili tuambie lini Yesu aliingia kanisani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkiristo wa tatu wewe umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kujua nini kanisa hulijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Again,kanisa ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe usiende hivyo,jua kwanza unachotaka kukiuliza.
Huo ndio uthibitisho wako sio?Dini ni nini??usiwe fala kama muhamad bana,leo umepata bahati ya kufunzwa unatakiwa ubadilike[emoji28][emoji28]
Dini ni nini??