Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Yesu kapanda punda kilundu,wewe uko kwenye daladala huyooo kuwahi 40 ya mtoto[emoji23][emoji23].
Kwanza punda nisha panda kama yesu pia kobaz nimevaa kama yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani nakuzidi kila kitu aya thibitisha hiyo ukristo kama ni Dini au swali limekua gumu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ukileta ushabiki wa dini hutapata jibu sahihi zaidi ya kurefusha ligi hii

Na ligi hapa ndio mahala pake,napenda ligi maana ina uwanja mpana wa kumvua mtume wa watu nguo na dini yake aliyopewa.
 
Kwanza punda nisha panda kama yesu pia kobaz nimevaa kama yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani nakuzidi kila kitu aya thibitisha hiyo ukristo kama ni Dini au swali limekua gumu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Unanizidi kupanda punda na kuvaa kobazi kama Yesu[emoji23][emoji23] aisee wewe jamaa kilundu kweli kweli.

Swali la awali"dini ni nini"

Nipe jibu hapo twende sawa.
 
Wote ni wawili mmeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini jana kuna nguchiro alituletea dictionary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Nguchiro kama yule aliyeshuka mapangoni na kuwaletea hii mnayoita dini ya mnyazimngu[emoji1787][emoji1787],wote wamekupeni vitabu,sema kwavile huyu mmatumbi mwenzako ukaona michosho.
 
Huna akili mike,nimekuuliza ukristo ni nini???
Haya basi puuza hilo swali na jibu lake,twende kwa mtume.
Aliowaita alkitaabi ni watu gani??sitaki uwaite wakristo.
Sikulaumu itakuwa akili yako ni ya kuku , yaani nimekujibu mara mbili ukristo ni kitu gani basi . nakujibu mara ya tatu

Ukristo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia Matendo 11:25

Hulaumiki labda ndio nyinyi Bwana yesu alisema

wjdgay4.jpg
 
Historia ipi inayoeleza Waarabu walianza lini na wapi?
Embu tupe andiko au kitabu chochote ambacho hakina makisio, yaani kinachosema Waarabu walianza Mwaka Fulani au walianzia Kwa MTU Fulani.

Kuhusu Wayahudi Historia Yao imeanzia Kwa Waisrael.
Jibu kwanza swali nililo kuuliza, utoto wa kukimbia maswali huwa siupendi maana ya mjadala inapotea hapa.

Historian kuanzia kwa Waisraeli siyo shida ila Uyahudi kipindi Cha Musa haukuwepo. Hili weka akilini.

Sababu Israeli ni kabila na ni dhuria wa Yakubu aliyeitwa Israeli hili siyo tatizo, shida ni kuwepo kwa Uyahudi zama zao.
 
Nguchiro kama yule aliyeshuka mapangoni na kuwaletea hii mnayoita dini ya mnyazimngu[emoji1787][emoji1787],wote wamekupeni vitabu,sema kwavile huyu mmatumbi mwenzako ukaona michosho.
Kama swali lile ni gumu jengine hili tuambie lini Yesu aliingia kanisani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sikulaumu itakuwa akili yako ni ya kuku , yaani nimekujibu mara mbili ukristo ni kitu gani basi . nakujibu mara ya tatu

Ukristo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia Matendo 11:25

Hulaumiki labda ndio nyinyi Bwana yesu alisema

wjdgay4.jpg

Acha kuwa kama mbwa mkuu.

Kwani uislam sio jina alilolipanga huyo sokomoko muhamad[emoji23][emoji23]???mbona pia husema Yesu na adam ni waislam ilhali hawaujui hata huo uislam ni kitu gani???

Sasa wewe unawashwa wapi nikukune,fafanua.
 
Najua umekuja kubishana nataka utoke kwenye huo upumbavu uwe mtu timamu,nakuuliza swali langu hujibu.

Mwanafunzi kiburi elimu yake ataipata kwa misukosuko sana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkiristo wa tatu wewe umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom