Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Ndio hapo sasa ujiulize walikuwa hawaabudu??kama walikuwa wanaabudu ndipo humo Yesu aliingia kuabudu nao.
Wapi humo ona Yesu alipo kua akiingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Luka 6:6

Ikawa siku nyingine ya Sabato, Yesu aliingia ndani ya sinagogi na akawa anafundisha.

Aya twambie nani wewe kakuongopea kaingia kanisani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa ni kalio sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekwambia wapi aliingiza kanisanai??umeelewa hata ulichonukuu kweli??
 
Elimu, elimu, elimu.. Uislam umesisitiza hili, aya ya kwanza kushuka ni kuhusu elimu. Anajua umuhimu wa elimu.
Sisi tunapenda dini kwa kuisikia sikia na sio kuisoma, mwishowe unapelekwa siko na watu wenye malengo yao tofauti duniani
 
Ni wakristo wapi unawaongelea ambao huwezi kuwaburuza sababu wana akili timamu ? Hawa wanaolipa pesa kanisani kwa "manabii" ili waende mbinguni ? Au wale waliokua airport wakisubiri ndege iwachukue kwenda Iraq kuhubiri injili ? Wapi hao mkuu au wale waliofungiwa wakachomwa moto na mchungaji wao kwakua alipata ufunuo toka kwa roho wa bwana kuwa mwaka 2000 ni mwisho wa dunia ? Ama huwenda unawazungumzia wale wana shangilia 'Ameeeeen' kwakua kuna mwanamke amemchora tattoo 'nabii' wao mgongoni kwake ?
hawa unaowatolea mifano mibovu ni waliopotoka, hawa hawakuijua kweli walisombwa na kila upepo unaovuma. Hawa si wakristo ni wapotokaji na walipaswa kuhurumiwa kwa kutekwa na mafundisho feki
 
Back
Top Bottom