professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Nipe andiko hua sipendi maneno kama ya mlevi hapaNimekwambia jifunze maana ya kanisa.
Ili kukuelimisha maana naona maji marefu,kanisa sio jengo.kanisa ni mkusanyiko wa kumwabudu Mungu.
Kwa hiyo wakati wa yesu watu walikuwa hawaabudu au
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app