Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
kwa nini mnapenda kushadidia kwa kutumia hoja za wahuni kuhalalisha uchafu wao? Uonapo mashoga wakishadidia kutaka kutambuliwa na maandiko matakatifu biblia iishakataa uchafu huo na kusema wafiraji hawataurithi ufalme wa mbinguni. Tena imepiga marufuku ulawiti, hao ni wanaharakati wa ushoga wanaochafua ukristo
Unaongelea biblia ipi? King James version, Queen James version au maelfu ya biblia tofauti?