Uislamu kuchukiwa kawaida sana
Jengine hakuna mtu atapendekeza matamanio ya nafsi yake katika dini alafu wenye dini tumuangalie tusiseme ukweli
Hilo sahau
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wacha kujipakazia, Weka video tukuoneNamjua mpaka huyo jamaa na tumeshakutana kwenye commenr section mara kibao ticktock,[emoji16][emoji16]
Ni mweupe kuliko wewe.
Ndio uthibitisho huo kua ukristo ni Dini?Mtume alipoa wake 14 na kuwapanga ni wayhi,mkanywea shwaaaaaaa.
Zanzibar kule mbona makanisa yapo. Mi mwenyeji wangu kwa mara ya kwanza kwenda Zanzibar aliyenipokea alikuwa dada wa kikristo aliyetokea huku.Kwani Zanzibar na mwambao wote wa pwani wako dini gan? Mbona ushoga uko wazi wazi???
wahuni wanawajua mlivyo na munkari, wanawaingia kwa akili nyini hamtaamini waliingia lini, subiri muda unakuja utashuhudia mabadiliko ya ajabu kwenye uislam hata kama mnasema kitabu chenu huwa hakifanyiwi amaindment. Wale watapenyeza uchafu wao kwa amani na mwisho wa siku mtajikuta mmeharibikiwa siku nyingi na hamna namna ya ku restore tena mila na desturi zenu mlizopokeaHakuna anae cheka ila wahuni mnaona wapo upande mmoja tu mpaka mkishikwa kooni ndio mnaanza kujifaradua
Mnaongoza kutukan uislamu kwa jambo analo fanya mtu mkiambiwa huyo kafanya kwa mapenzi yake na si dini mnakua wakali kama vile dini nyie ndio mnaijua
Narudia tena sasa zamu yenu mpaka heshima irudi
Mnalishwa mpaka nyasi kama sungura
Tena nyie ndio hakuna cha kujitetea maana mnaongozwa na roho mtakatifu kufanya upuuzi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Zanzibar kule mbona makanisa yapo. Mi mwenyeji wangu kwa mara ya kwanza kwenda Zanzibar aliyenipokea alikuwa dada wa kikristo aliyetokea huku.
Hiyo hoja yako haina mashiko ukichukulia wingi wa watu kutokana Zanzibar kuna wakristo wakutosha pia bila kusahau watalii wa kizungu.
Zanzibar ina watu wangapi ukilinganisha na Dar?
Orodha ya nchi zilizoorodhesha ushoga kama ifuatavyo na madhehebu asili yake:
1. Italy (Ukatoliki)
2. UK(Anglican)
3. Germany(Lutheran)
4. USA(Wasabato na Walokole)
5. Ugiriki(Greek Orthodox)
Waliokaza mambo ya LGBT ni Russian Orthodox wengine wote ushoga ruhusa na inalazimishwa kila mtu aunge mkono.
wahuni wanawajua mlivyo na munkari, wanawaingia kwa akili nyini hamtaamini waliingia lini, subiri muda unakuja utashuhudia mabadiliko ya ajabu kwenye uislam hata kama mnasema kitabu chenu huwa hakifanyiwi amaindment. Wale watapenyeza uchafu wao kwa amani na mwisho wa siku mtajikuta mmeharibikiwa siku nyingi na hamna namna ya ku restore tena mila na desturi zenu mlizopokea
Ndiyo mafundisho ya Yesu Hayo ,?Munkari wapi??hao ni kama simba jike tu kelele kibao mwisho anapigwa mti na mimba anashika.
Ndiyo mafundisho ya Yesu Hayo ,?
Kwa hiyo unataka kusema nyie makanisani mnavyoingia mnajua kabisa huyu shoga sio?Nani kalazimishwa kuunga mkono ushoga??
Tumeaswa kutowahukumu,biblia tokea mwanzo inasema nini juu ya watu aina hiyo???inasema ni dhambi.
Shoga akiingia kanisani mnamfukuza au mnamuhubiria dhambi ya kitendo hicho??
Ukimaliza uniambie ukristo ni Dini na ulete uthibitisho huna na kuingiza tena kwenye kundi la wapumbavuHuo ni uthibitisho kwamba mtume alikuwa tapeli.
Utasubiri mpaka lini hivi hujui kua quran inahifadhiwa kwenye nyoyo na sio makaratasiwahuni wanawajua mlivyo na munkari, wanawaingia kwa akili nyini hamtaamini waliingia lini, subiri muda unakuja utashuhudia mabadiliko ya ajabu kwenye uislam hata kama mnasema kitabu chenu huwa hakifanyiwi amaindment. Wale watapenyeza uchafu wao kwa amani na mwisho wa siku mtajikuta mmeharibikiwa siku nyingi na hamna namna ya ku restore tena mila na desturi zenu mlizopokea
Ukimaliza uniambie ukristo ni Dini na ulete uthibitisho huna na kuingiza tena kwenye kundi la wapumbavu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa kama ina hifadhiwa kwenye nyoyo kulikuwa na haja gani kuwa na vitabu.vikifanyiwa vimbwanga kama kuchoma moto au kukojolewa mnashumu na mpaka vurugu.Utasubiri mpaka lini hivi hujui kua quran inahifadhiwa kwenye nyoyo na sio makaratasi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nipe mfano katika nchi yako ya Tanzania na kwa nini uchome moto quran je huo si ugomviSasa kama ina hifadhiwa kwenye nyoyo kulikuwa na haja gani kuwa na vitabu.vikifanyiwa vimbwanga kama kuchoma moto au kukojolewa mnashumu na mpaka vurugu.
Mda mwingi napitia ukijaribu kujibu hoja ila uwezi kujibu hoja inaonyesha inengekuwa kama ni mazungumzo ungechinja mtu bila kujibu hoja yake
Si umesema inaifaziwa kwenye nyoyo sio kwenye makaratasi.nini mimi au ni wewe kama nilivo nukuu kwakoNipe mfano katika nchi yako ya Tanzania na kwa nini uchome moto quran je huo si ugomvi
Hakuna anae tengeneza hoja mbele yangu ya maana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii kaandika naniUtasubiri mpaka lini hivi hujui kua quran inahifadhiwa kwenye nyoyo na sio makaratasi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app