Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kwani Zanzibar na mwambao wote wa pwani wako dini gan? Mbona ushoga uko wazi wazi???
Zanzibar kule mbona makanisa yapo. Mi mwenyeji wangu kwa mara ya kwanza kwenda Zanzibar aliyenipokea alikuwa dada wa kikristo aliyetokea huku.
Hiyo hoja yako haina mashiko ukichukulia wingi wa watu kutokana Zanzibar kuna wakristo wakutosha pia bila kusahau watalii wa kizungu.
Zanzibar ina watu wangapi ukilinganisha na Dar?
Orodha ya nchi zilizoorodhesha ushoga kama ifuatavyo na madhehebu asili yake:
1. Italy (Ukatoliki)
2. UK(Anglican)
3. Germany(Lutheran)
4. USA(Wasabato na Walokole)
5. Ugiriki(Greek Orthodox)

Waliokaza mambo ya LGBT ni Russian Orthodox wengine wote ushoga ruhusa na inalazimishwa kila mtu aunge mkono.
 
Hakuna anae cheka ila wahuni mnaona wapo upande mmoja tu mpaka mkishikwa kooni ndio mnaanza kujifaradua

Mnaongoza kutukan uislamu kwa jambo analo fanya mtu mkiambiwa huyo kafanya kwa mapenzi yake na si dini mnakua wakali kama vile dini nyie ndio mnaijua

Narudia tena sasa zamu yenu mpaka heshima irudi
Mnalishwa mpaka nyasi kama sungura

Tena nyie ndio hakuna cha kujitetea maana mnaongozwa na roho mtakatifu kufanya upuuzi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
wahuni wanawajua mlivyo na munkari, wanawaingia kwa akili nyini hamtaamini waliingia lini, subiri muda unakuja utashuhudia mabadiliko ya ajabu kwenye uislam hata kama mnasema kitabu chenu huwa hakifanyiwi amaindment. Wale watapenyeza uchafu wao kwa amani na mwisho wa siku mtajikuta mmeharibikiwa siku nyingi na hamna namna ya ku restore tena mila na desturi zenu mlizopokea
 
Zanzibar kule mbona makanisa yapo. Mi mwenyeji wangu kwa mara ya kwanza kwenda Zanzibar aliyenipokea alikuwa dada wa kikristo aliyetokea huku.
Hiyo hoja yako haina mashiko ukichukulia wingi wa watu kutokana Zanzibar kuna wakristo wakutosha pia bila kusahau watalii wa kizungu.
Zanzibar ina watu wangapi ukilinganisha na Dar?
Orodha ya nchi zilizoorodhesha ushoga kama ifuatavyo na madhehebu asili yake:
1. Italy (Ukatoliki)
2. UK(Anglican)
3. Germany(Lutheran)
4. USA(Wasabato na Walokole)
5. Ugiriki(Greek Orthodox)

Waliokaza mambo ya LGBT ni Russian Orthodox wengine wote ushoga ruhusa na inalazimishwa kila mtu aunge mkono.

Nani kalazimishwa kuunga mkono ushoga??

Tumeaswa kutowahukumu,biblia tokea mwanzo inasema nini juu ya watu aina hiyo???inasema ni dhambi.
Shoga akiingia kanisani mnamfukuza au mnamuhubiria dhambi ya kitendo hicho??
 
Kuweni wapole vijana wa kiislam, dunia inaenda kwa kasi ya ajabu, acheni chuki kwa wasio waislam
 
wahuni wanawajua mlivyo na munkari, wanawaingia kwa akili nyini hamtaamini waliingia lini, subiri muda unakuja utashuhudia mabadiliko ya ajabu kwenye uislam hata kama mnasema kitabu chenu huwa hakifanyiwi amaindment. Wale watapenyeza uchafu wao kwa amani na mwisho wa siku mtajikuta mmeharibikiwa siku nyingi na hamna namna ya ku restore tena mila na desturi zenu mlizopokea

Munkari wapi??hao ni kama simba jike tu kelele kibao mwisho anapigwa mti na mimba anashika.
 
Nani kalazimishwa kuunga mkono ushoga??

Tumeaswa kutowahukumu,biblia tokea mwanzo inasema nini juu ya watu aina hiyo???inasema ni dhambi.
Shoga akiingia kanisani mnamfukuza au mnamuhubiria dhambi ya kitendo hicho??
Kwa hiyo unataka kusema nyie makanisani mnavyoingia mnajua kabisa huyu shoga sio?
Anayehubiri kupinga ushoga ni nabii wenu Tito peke yake. Wengine sadaka na kurogwa na kumwagiwa maji ya azam nakudanganywa jina la Yesu linaponya.
Hizo nchi kabisa zimeruhusu kabisa na ndoa zinafungwa hadi makanisani. Madhehebu yote ya ukristo asili yake kwenye nchi ya Italy, UK, USA, Germany na Greece. Taja nyingine uongezee.
Uniambie mchungaji gani kwenye kanisa lako alithubutu kuzungumzia kupinga vitendo vya ushoga na kuwaponda mashoga kwa lugha ya ukali zaidi ya nabii Tito
 
wahuni wanawajua mlivyo na munkari, wanawaingia kwa akili nyini hamtaamini waliingia lini, subiri muda unakuja utashuhudia mabadiliko ya ajabu kwenye uislam hata kama mnasema kitabu chenu huwa hakifanyiwi amaindment. Wale watapenyeza uchafu wao kwa amani na mwisho wa siku mtajikuta mmeharibikiwa siku nyingi na hamna namna ya ku restore tena mila na desturi zenu mlizopokea
Utasubiri mpaka lini hivi hujui kua quran inahifadhiwa kwenye nyoyo na sio makaratasi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukimaliza uniambie ukristo ni Dini na ulete uthibitisho huna na kuingiza tena kwenye kundi la wapumbavu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sikuletei uthibitisho.kama kumwita mtu mpumbavu ndio inafanya ukristo kuwa sio dini,basi nakusihi niite,nami sitasita kukumbusha ni jinsi gani uko ktk dini ya kifala uliyoletewa na mpumbavu mwezako,na ukamsikiliza.
 
Utasubiri mpaka lini hivi hujui kua quran inahifadhiwa kwenye nyoyo na sio makaratasi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa kama ina hifadhiwa kwenye nyoyo kulikuwa na haja gani kuwa na vitabu.vikifanyiwa vimbwanga kama kuchoma moto au kukojolewa mnashumu na mpaka vurugu.

Mda mwingi napitia ukijaribu kujibu hoja ila uwezi kujibu hoja inaonyesha inengekuwa kama ni mazungumzo ungechinja mtu bila kujibu hoja yake
 
Nipe mfano katika nchi yako ya Tanzania na kwa nini uchome moto quran je huo si ugomvi

Hakuna anae tengeneza hoja mbele yangu ya maana

Back
Top Bottom