Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Wasikusumbue kwa mujibu wa bibilia isaka kaoa mtoto wa miaka 3

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo gwajima siyo mchungaji wa kikiristo,Ila wewe ndiyo mkiristo!?
 
Naona povu linakutoka mpaka sasa humu yamewekwa makanisa kibao yanaoleta ujinga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo. Tafuta orodha ya Matajiri 10 tanzania 7-8 ni waislam.

Wamiliki wa mabasi Tanzania nzima 80% ni waislam.
majengo yakuabudia yenye thamani kubwa na ya kupendeza Dar ni misikiti.

fanya utafiti
 
Wavaa kobazi watatu humu WAMESHINDWA kujibu swali langu, hata baada ya kulirudia kuwauliza mara nyingi sana. (Pitieni comments huko juu mjionee).

Sikudhani hili swali lingekuwa la moto hivi... Kila mmoja amekwepa Kujibu SWALI NILILOULIZA.

Kobazi hao ni:

ETUGRUL BEY
professional Driver
Kisai

Sasa, kama yupo Muislam yeyote humu anayeweza kuja kujibu swali nililouliza( ambalo kobazi wenzake wamelikimbia)...Namuita hapa AJE.
 
Mtume wa mungu hawezi kuoa katoto ka miaka 6.. na kukaingilia kakiwa na miaka 9.

Hata wewe hapo huwezi kunipa binti yako wa miaka 6....au unaweza?
 
Muongo wenzio wanakucheka umeshindwa kuthibitisha kama Yesu ana ukubali ukristo kama dini mpaka sasa
Au wewe bibilia yako ni dictionary sema mbele ya wakristo wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yesu njoo huku wenzio hawajui kama ukristo Dini au sio

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi wako ungeweza kuuwasilisha hata kwa mistari miwili na ukaeleweka vzur
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto wa papa umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtume wa mungu hawezi kuoa katoto ka miaka 6.. na kukaingilia kakiwa na miaka 9.

Hata wewe hapo huwezi kunipa binti yako wa miaka 6....au unaweza?
Kaangalie enzi izo Usifananishe na hizi za sasa..

Yesu hakuoa kabisa wala hakuwa na mwanamke ,we hyo amri ya kuoa way kuwa na mke umeitoa wapi?
 
Sasa kama watu wanaaminishwa kuua wakristo kuna sababisha waende mbinguni unategemea nini?
 
Acha uongo. Tafuta orodha ya Matajiri 10 tanzania 7-8 ni waislam.

Wamiliki wa mabasi Tanzania nzima 80% ni waislam.
majengo yakuabudia yenye thamani kubwa na ya kupendeza Dar ni misikiti.

fanya utafiti
hoja kwamba ina matajiri wengi na wana mabasi ni pana na kuna sababu ya matajiri hao kuwa hivyo, kwanza wengi wao wana asili ya mashariki ya kati na asia ilikotokea dini hiyo. Pili ni wafanyabiashara wa muda mrefu tangu enzi za mababu zao. Kuhusu majengo mazuri wanayoabudu hawashindwi kujenga kwa kuwa ni matajiri, pia wanaweza kupata misaada ya kujenga majengo hayo toka kwa ndugu zao wa imani hiyo toka nchi zinazoamini imani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…