Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kabinti cha miaka 9 unaongeal Karne ipi ? Bibi yako Karne ya 20 kaolewa na miaka 12 utasemaje ivyo na mbona sasa kuolewa juu ya 25 ni kawaida.

Usifananishe zile ni zama tofauti ndo maana manabii wengine wakiishi miaka buku je wewe baby yako haya miaka 150 alifika..

Muhamad (SAW) ni mtume wa mwenyewe Mungu.

Kijana unatakiwa usome sana la sivyo utakuja kuwa mzee mjinga sana..
Wasikusumbue kwa mujibu wa bibilia isaka kaoa mtoto wa miaka 3

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
pumbavu, unadhani hao wanafanya hayo ukristo unawakubali? Ukristo uko huru kupembua na kung'amua yapi ni mafundisho sahihi na yapi ni abrakadabra. Kule ukiona mambo hayako sawa unaondoka kwenda kwenye mafundisho sahihi. Kwenye uislam hakuna uhuru wa kuachana mafundisho hayo imeamishwa ni ya kweli daima na hayabadilishwi. Kuhama tu dini hiyo mtu anaogopa yasije yakamkuta makubwa
Kwa hiyo gwajima siyo mchungaji wa kikiristo,Ila wewe ndiyo mkiristo!?
 
pumbavu, unadhani hao wanafanya hayo ukristo unawakubali? Ukristo uko huru kupembua na kung'amua yapi ni mafundisho sahihi na yapi ni abrakadabra. Kule ukiona mambo hayako sawa unaondoka kwenda kwenye mafundisho sahihi. Kwenye uislam hakuna uhuru wa kuachana mafundisho hayo imeamishwa ni ya kweli daima na hayabadilishwi. Kuhama tu dini hiyo mtu anaogopa yasije yakamkuta makubwa
Naona povu linakutoka mpaka sasa humu yamewekwa makanisa kibao yanaoleta ujinga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo. Tafuta orodha ya Matajiri 10 tanzania 7-8 ni waislam.

Wamiliki wa mabasi Tanzania nzima 80% ni waislam.
majengo yakuabudia yenye thamani kubwa na ya kupendeza Dar ni misikiti.

fanya utafiti
Wahubiriwe habari njema za ukombozi kupitia Yesu kristo,mimi naamini usilamu hasa huku afrika unaharibiwa na viongozi wao wasio na elimu wala exposure,na wengi wanafanya upotoshaji huo ili waungwe mkono na jamii yao ambayo wanajua niya watu wajinga,masikini wa kipato na elimu ambao ni wepesi kurubunika.
 
Wavaa kobazi watatu humu WAMESHINDWA kujibu swali langu, hata baada ya kulirudia kuwauliza mara nyingi sana. (Pitieni comments huko juu mjionee).

Sikudhani hili swali lingekuwa la moto hivi... Kila mmoja amekwepa Kujibu SWALI NILILOULIZA.

Kobazi hao ni:

ETUGRUL BEY
professional Driver
Kisai

Sasa, kama yupo Muislam yeyote humu anayeweza kuja kujibu swali nililouliza( ambalo kobazi wenzake wamelikimbia)...Namuita hapa AJE.
 
Kabinti cha miaka 9 unaongeal Karne ipi ? Bibi yako Karne ya 20 kaolewa na miaka 12 utasemaje ivyo na mbona sasa kuolewa juu ya 25 ni kawaida.

Usifananishe zile ni zama tofauti ndo maana manabii wengine wakiishi miaka buku je wewe baby yako haya miaka 150 alifika..

Muhamad (SAW) ni mtume wa mwenyewe Mungu.

Kijana unatakiwa usome sana la sivyo utakuja kuwa mzee mjinga sana..
Mtume wa mungu hawezi kuoa katoto ka miaka 6.. na kukaingilia kakiwa na miaka 9.

Hata wewe hapo huwezi kunipa binti yako wa miaka 6....au unaweza?
 
Wavaa kobazi watatu humu WAMESHINDWA kujibu swali langu, hata baada ya kulirudia kuwauliza mara nyingi sana. (Pitieni comments huko juu mjionee).

Sikudhani hili swali lingekuwa la moto hivi... Kila mmoja amekwepa Kujibu SWALI NILILOULIZA.

Kobazi hao ni:

ETUGRUL BEY
professional Driver
Kisai

Sasa, kama yupo Muislam yeyote humu anayeweza kuja kujibu swali nililouliza( ambalo kobazi wenzake wamelikimbia)...Namuita hapa AJE.
Muongo wenzio wanakucheka umeshindwa kuthibitisha kama Yesu ana ukubali ukristo kama dini mpaka sasa
Au wewe bibilia yako ni dictionary sema mbele ya wakristo wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yesu njoo huku wenzio hawajui kama ukristo Dini au sio

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wavaa kobazi watatu humu WAMESHINDWA kujibu swali langu, hata baada ya kulirudia kuwauliza mara nyingi sana. (Pitieni comments huko juu mjionee).

Sikudhani hili swali lingekuwa la moto hivi... Kila mmoja amekwepa Kujibu SWALI NILILOULIZA.

Kobazi hao ni:

ETUGRUL BEY
professional Driver
Kisai

Sasa, kama yupo Muislam yeyote humu anayeweza kuja kujibu swali nililouliza( ambalo kobazi wenzake wamelikimbia)...Namuita hapa AJE.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto wa papa umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtume wa mungu hawezi kuoa katoto ka miaka 6.. na kukaingilia kakiwa na miaka 9.

Hata wewe hapo huwezi kunipa binti yako wa miaka 6....au unaweza?
Kaangalie enzi izo Usifananishe na hizi za sasa..

Yesu hakuoa kabisa wala hakuwa na mwanamke ,we hyo amri ya kuoa way kuwa na mke umeitoa wapi?
 
Sasa kama watu wanaaminishwa kuua wakristo kuna sababisha waende mbinguni unategemea nini?
 
Acha uongo. Tafuta orodha ya Matajiri 10 tanzania 7-8 ni waislam.

Wamiliki wa mabasi Tanzania nzima 80% ni waislam.
majengo yakuabudia yenye thamani kubwa na ya kupendeza Dar ni misikiti.

fanya utafiti
hoja kwamba ina matajiri wengi na wana mabasi ni pana na kuna sababu ya matajiri hao kuwa hivyo, kwanza wengi wao wana asili ya mashariki ya kati na asia ilikotokea dini hiyo. Pili ni wafanyabiashara wa muda mrefu tangu enzi za mababu zao. Kuhusu majengo mazuri wanayoabudu hawashindwi kujenga kwa kuwa ni matajiri, pia wanaweza kupata misaada ya kujenga majengo hayo toka kwa ndugu zao wa imani hiyo toka nchi zinazoamini imani hiyo.
 
Back
Top Bottom