professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Wasikusumbue kwa mujibu wa bibilia isaka kaoa mtoto wa miaka 3Kabinti cha miaka 9 unaongeal Karne ipi ? Bibi yako Karne ya 20 kaolewa na miaka 12 utasemaje ivyo na mbona sasa kuolewa juu ya 25 ni kawaida.
Usifananishe zile ni zama tofauti ndo maana manabii wengine wakiishi miaka buku je wewe baby yako haya miaka 150 alifika..
Muhamad (SAW) ni mtume wa mwenyewe Mungu.
Kijana unatakiwa usome sana la sivyo utakuja kuwa mzee mjinga sana..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app