Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Umesahau kuna Mkubwa wao mmoja juzi katemblea Aftrca kuna watu wametembea miles za kutosha wakamshike miguu wabarikiwe, huu ni uzwazwa mkubwa sana.
Kuna wengine wanskesha wakolia kuwaombea wengine cha ajabu madhambi kama ndio yanazidi.
😂😂😂Hao jamaa yule yesu wa Kenya kashaanza kupata wafuasi.

Nabii Tito nae ana crew yake

Zumarida kaachiwa bado mambumbumbu watamfuata Tena nabii wao.
 
Mtume hatakiwi afanye lile asilotumwa na aliemtuma. Hata asiposema matendo yanaongea mfuateni huyo ni mtume wenu. Ma-estimation yalifanywa tuchukulie yalikosewa, badilisheni basi angalau iwe alioa binti wa miaka 14 angalau.
Kwa hyo yesu Mungu au mtume?
 
Hakuna cha zama acheni kutetea Ujinga.

Kwamba mtoto wa miaka 6 zamani alikuwa mtu mzima? Hata enzi za Adam, miaka 6 bado ni mtoto... kimaumbile ni mtoto wa darasa la kwanza kwa miaka hii.

Ndoa za kuoa watoto ulikuwa ushenzi wa wakati ule (kama kukeketwa kulivyo ushenzi wa wakati huu)... na mtume akaendeleza ushezi huo.

Kama kweli alikuwa mtume wa mungu angefanya lililo sahihi kwa kuacha kuendeleza ushezi..... ila akaendeleza tu kwa sababu alikuwa tu mtu kama wewe tu.

Wewe hapo unaweza kunipa binti yako wa miaka 6 nimuoe? Ili tufanye kama mtume alivyofanya? Unaweza??????
Kwanza kabla sijasahau mshenzi baba yako
Pili lete refence ya wakati huo inayo sema alikosea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aisee, hebu jibu swali langu!!!

Acha kujieleza sana, JIBU SWALI NILILOKUULIZA.
Nimekuuliza nikujibu mara ngapi ? Na nimeshatoka maana ya Dini zaidi ya 4 ?

Jibu swali ninalo kuuliza.
 
Wavaa kobazi watatu humu WAMESHINDWA kujibu swali langu, hata baada ya kulirudia kuwauliza mara nyingi sana. (Pitieni comments huko juu mjionee).

Sikudhani hili swali lingekuwa la moto hivi... Kila mmoja amekwepa Kujibu SWALI NILILOULIZA.

Kobazi hao ni:

ETUGRUL BEY
professional Driver
Kisai

Sasa, kama yupo Muislam yeyote humu anayeweza kuja kujibu swali nililouliza( ambalo kobazi wenzake wamelikimbia)...Namuita hapa AJE.
Huwa kila Mkristo Akitoa kauli hizi namkumbusha Yesu alivaa Makubazi na Alivaa Kanzu fupi, Viatu vipo hadi makumbusho

Wewe katika wavaa kobazi nakuonaga angalau una content na unaweza kujadiliana... Sasa ni nini hiki unafanya hapa?[emoji3]

Yaani unakuwa mwoga wa swali kiasi hiki?
KWA NINI HUTAKI KUJIBU SWALI LANGU?

Kwamba mpaka sasa hujaelewa swali au ndio hivyo tena umeona hutachomoka?
Umenifanya nijisikie kucheka kwa kweli....[emoji1787][emoji1787]
Nakuuliza unataka nikujibu mara ngapi ? Au unataka maana ya Dini kwa Kiingereza ? Ukisoma maana ya Dini ya Kiingereza ndiyo hiyo hiyo niliyo itoa kwa Kiswahili na Kiarabu, Sasa kama husomi ninachokuwekea huu utoto unatakiwa ufanye na watoto wenzako.
 
Huwa kila Mkristo Akitoa kauli hizi namkumbusha Yesu alivaa Makubazi na Alivaa Kanzu fupi, Viatu vipo hadi makumbusho

Huwa nawaambia watu ukitaka kujua Ujinga ni nini, waangalie Wakristo. Yaani si watu wakutumia akili na kutafakari.
 
Mkuu wavaa kobaaz yani hii dini yao isisngekuwepo duniani amini kwamba dunia ingekuwa ni sehemu salama sana kuishi. Matatizo yote ya duniani wameshababisha hawa wavaa kobaaz
hata Yesu alivaa kobanzi na kanzu ....😀
 
Wavaa kobazi watatu humu WAMESHINDWA kujibu swali langu, hata baada ya kulirudia kuwauliza mara nyingi sana. (Pitieni comments huko juu mjionee).

Sikudhani hili swali lingekuwa la moto hivi... Kila mmoja amekwepa Kujibu SWALI NILILOULIZA.

Kobazi hao ni:

ETUGRUL BEY
professional Driver
Kisai

Sasa, kama yupo Muislam yeyote humu anayeweza kuja kujibu swali nililouliza( ambalo kobazi wenzake wamelikimbia)...Namuita hapa AJE.
Kwanini huogopi kuandika uongo ? Nimekuwekea zaidi ya maana 4 kwa lugha mbili tofauti, unasema hujajibiwa.

Nikakupa kazi uweke maana yako kadhalika umeshindwa, bali nikakuuliza uwekewe maana ya Dini mara ngapi ?

Mtu mwenye akili angekuwa ameshakosoa hizi maana tulizo weka humu na kuweka iliyo sahihi, hili najua huwezi mpaka unaingia kaburini. Sasa kama haupo kwa ajili kujua na kujifunza, kujadiliana na wewe ni kupoteza muda.

Bora kujadiliana na watu Elfu wenye kujua unaweza kuwashinda kwa hoja kuliko kujadiliana na mjinga mmoja kama wewe, lazima tushindwe sisi. Kwa hapa kazi yangu nimemaliza.
 
Mkuu wavaa kobaaz yani hii dini yao isisngekuwepo duniani amini kwamba dunia ingekuwa ni sehemu salama sana kuishi. Matatizo yote ya duniani wameshababisha hawa wavaa kobaaz
Usingekuepo Uisilamu Sasa hivi pengine ungekua unajiremba, Mnatakiwa kila siku mtushukuru Maana tupo mstari wa Mbele kupambana na kila Ujinga wa Dunia.
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.

Mara nyingi masheikhe wengi husema mambo wanayoyajua Kwa Elimu Yao ndogo. Hivyo kwao wasemacho ni Kweli lakini kiuhalisia sio kweli.

Mtu alipata zero Kidato cha nne au hakufika Sekondari atawezaje kujua Historia ya dunia au yanayoendelea Duniani.
Chochote atakachoambiwa atakibeba kama kilivyo.
 
Akili za popoma hizi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtu alipata zero Kidato cha nne au hakufika Sekondari atawezaje kujua Historia ya dunia au yanayoendelea Duniani.
Chochote atakachoambiwa atakibeba kama kilivyo.
Kuna uhusiano gani kati ya kupata Zero na kuijua Historia ya Dunia au kutoijua ?

Kingine wewe uliye pata one unaweza kutuambia historia ya Dunia kwa usahihi ? Hili Nina uhakika huwezi kutuambia Historia ya Dunia na ukapatia, kama mtu ambaye hujui Historia ya Uyahudi na ukadai Yesu alikuwa Myahudi kwa kutumia maandiko ya waandishi wasio julikana, utatuambia nini sisi ambao tumepata sifuri na tuna Elimu ya uhakiki wa habari, Elimu ambayo nyinyi hamna ?

Wewe ambaye umepata one na hujawahi kuihakiki Biblia na ukaamini yaliyomo pasi na kujiuliza, huku mnajua ya kuwa fika walio andika Biblia hawakuwa wanafunzi wa Yesu wala hawakuwaona Wanafunzi wa Yesu wala hawakuandika chini ya usimamizi wa Yesu, utatuambia nini sisi wenye wenye Elimu ya uhakiki wa habari ?

Yaani Wakristo kwenye bahari hii mnazama na hatuwaoni katika duru ya Elimu sahihi, mtatuambia nini sisi ?
 
Kuna uhusiano gani kati ya kupata Zero na kuijua Historia ya Dunia au kutoijua ?

Kingine wewe uliye pata one unaweza kutuambia historia ya Dunia kwa usahihi ? Hili Nina uhakika huwezi kutuambia Historia ya Dunia na ukapatia, kama mtu ambaye hujui Historia ya Uyahudi na ukadai Yesu alikuwa Myahudi kwa kutumia maandiko ya waandishi wasio julikana, utatuambia nini sisi ambao tumepata sifuri na tuna Elimu ya uhakiki wa habari, Elimu ambayo nyinyi hamna ?

Wewe ambaye umepata one na hujawahi kuihakiki Biblia na ukaamini yaliyomo pasi na kujiuliza, huku mnajua ya kuwa fika walio andika Biblia hawakuwa wanafunzi wa Yesu wala hawakuwaona Wanafunzi wa Yesu wala hawakuandika chini ya usimamizi wa Yesu, utatuambia nini sisi wenye wenye Elimu ya uhakiki wa habari ?

Yaani Wakristo kwenye bahari mnazama na hatuwaoni katika duru ya Elimu sahihi, mtatuambia nini sisi ?

Sasa MTU anayesema Urusi inautetea Uislam huyo unamuona anaijua Historia kweli?

Alafu unaposema Wakristo jua ndio unazungumzia wenye huu Ulimwengu, wenye hiyo Historia yenyewe, ndio walioiandika, ndio wanayoiongoza Dunia.
Sasa wewe kama unaandika Kwa ushabiki kalia hapohapo.
 
Back
Top Bottom