Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😂😂😂Hao jamaa yule yesu wa Kenya kashaanza kupata wafuasi.Umesahau kuna Mkubwa wao mmoja juzi katemblea Aftrca kuna watu wametembea miles za kutosha wakamshike miguu wabarikiwe, huu ni uzwazwa mkubwa sana.
Kuna wengine wanskesha wakolia kuwaombea wengine cha ajabu madhambi kama ndio yanazidi.
Nabii Tito nae ana crew yake
Zumarida kaachiwa bado mambumbumbu watamfuata Tena nabii wao.