Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Uo ni utamaduni wa wayahudi wa kale na nyie mukaja kuiga..tatizo nyie watu wa Mwinyaaz munaona dini yenu kama lulu vile wakati mumeleta tafrani duniani..kwa mfano kulazimisha watu kuamini uislam uo ni upumbavu. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mvaa kobaaz na kupita mbele ya watu kupiga takbiiirr au kuvaa mabomu na kwenda kujitoa muhanga eti kumpigania Allah 😀😀😀. Halafu baada ya apo kuna mabikra 72 uko akhera madukani 🤣🤣🤣 amuoni kama mumechanganyikiwa nyie watu?
Hoja yangu ilikuwa mnapotuita wavaa kobazi basi ujuwe pia ujuwe yesu nae alikuwa mvaa kobazi na kanzu,, hata iwe utamaduni wao wa kale,, hayo mengine fungulia uzi wako tujadili
 
Hao ni wajinga na wapumbavu sana. Mazezeta. Mpaka leo hii wanaamini jua linazama kwenye matope na wakifa watapewa mito ya wine na mabikra 72
 
IMG_0446.jpg

He never see this[emoji23][emoji23][emoji23]

Or may be non of his busness
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.

Ugomvi wa Urusi na Ukraine ni wandugu wawili, sasa mmatumbi anaenda kuingilia akidai unakuhusu, waende tu
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Kuna yule Shehe wa hapa Mwanza alikuaga anaitwa nani sijui, alikua anatumia nguvu kubwa kuwaaminisha kua Tanzania inaendeshwa Kwa mfumo Kristo, akiwaasa waZanzibar kukataa hilo
 
Kumbe tatizo linawezakuwa kiswahili cha muuliza swali au hajui maana ya kitu anachouliza"OK"

Sina shaka kwamba unaelewa kiswahili,neno dini unalielewa,haya umeuliza dini yangu.

Nataka unieleze nini maana ya dini.
Utaendelea kua mpumbavu mpaka siku utakapo leta uthibitisho

Na kama lugha hujui sema tukufundishe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana waislamu ni wajinga ila hawajafikia kiwango cha wale waunga ushoga wale hata wakiambiwa leo hamna mtu kuingia bila kushikwa tako anakubali wanakubali maji ya uhai wanagombania wanaambiwa ni maji ya uzima mfalme zumaridi aliwafanya misekule kibwetele aliwapiga moto pale kawe watu wanakesha hakika kwa ujanja huu bora ni baki na ujinga wangu wa kiislamu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ukifuatilia kwa makini Zanzibar ndio inaongoza kwa ushoga na ufiranaji kuliko bara......
 
Hawa wapo tangu zama za Yesu, ndiyo masadukayo na mafarisayo, hawa marabi walipinga sana utume wa Yesu na mpaka sasa ni wapinzani na ndio maana wakaongeza upinzani kwa kuleta uislam upingane na ukristo. Ukristo umepitia changamoto nyingi kutoka kwa dini za kipagani na upo hauterereki. Daima ukristo hushinda
 
Back
Top Bottom