Strategic issues ndo kama ule uzinduzi albam ya Harmonize eti??Hizo ni micromanagement siyo kazi ya Rais. Muacheni Rais a deal na strategic issues
Kwa kweli tunahitaji katiba mpya.Nchi Kwa Sasa inajiendea tu.hatuna rais,tuna mhuni mmoja tu.Duniani kote hakuna utaratibu wa rais kupata mbeleko ya kurithi madaraka.je kama hana uwezo kama huyu wa kwetu ni hasara kubwa kama tunayoipata Kwa Sasa wtz.Nchi zinazojielewa hakuna huo uhuni wa kurithishana ispokuwa huwa wanaitisha uchaguzi upya ili kuepuka hasara ya kupata kiongozi legelege kama wa Sasa wa tz wanayetulazimisha chawa wake tumwite mama wakati siyo mama yetu.
Na huyo ambaye watu wakimkosoa kwa madudu yake mnakuwa wakali kama nyukiNa Nani?
SIO MIMINa huyo ambaye watu wakimkosoa kwa madudu yake mnakuwa wakali kama nyuki
πππAlooYeye hata Code 1 ya HTML haijui unamlaumu kwa lipi?
Hapa ndipo uzi wako wote ulipoharibikiaKwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Dada Watanzania kwa asili tunawapenda sana viongozi wetu.Rais ni Taasisi na sio mtu!! Maana yake unataka kusema mifumo ipo corrupted?
Jambo hili ni nyeti sanaaaa!! Kama kweli wewe ni MZALENDO, Nashauri tujadiliane suala hili kwa facts, figures and evidence if any; bila kumdhalilisha kiongozi wa nchi!!! Samahani lakini kama nimekukwaza!!
JF Siku hizi inataka kupoteza nafasi yake ya kuwa Sehemu muhimu ya ushauri kwa nchi sababu ya Kuweka mambo kama haya! Mtu anapost jambo muhimu, badala ya jambo kudadavuliwa ili hata kumsaidia Rais na Serikali kujiangalia kwenye kioo! Ghafla yanaporomishwa matusi kwa kiongozi na hapo watu wanapoteana na kuanza kushambuliana.
Hapo tatizo linaendelea kuchanja mbuga!!!
Kwa hiyo wewe kila kitu unataka afanye Rais hao wasaidizi wanakazi gani mzeeRais, wetu ana uwezo, mdogo sana, wa, kuongoza,"she is, overwhelmed by sheer size of responsibility of governing"Mambo ya security, uchumi, uharifu, nk, yote haya, Samia,Hana uwezo, mental brain capacity ya kuyachakata, nchi inajiendea tu, maana mama, hatoi mwongozo!
Mfano mdogo tu,mwanamke mwenzie ananyanyaswa hadharani, Taasisi za, chama zinakalipia, Taasisi za, sheria zinakalipia, Mama hatii neno,ndio kwanza, anaenda kucheza "ameroa"ya kondeboy, siku ya, pili tunasikia anakwea pipa kwenda majuu,Korea! So, patheric
Mikumi tena kwa Mama kizimkazi na hapa ipo.Tumetoka Paris, tumekuja kwenye show ya Harmonize, tunakwenda Korea tunamalizia China. Hayo ya control number sijui ujinga gani hayatuhusu.
Makonda alishasema kuna Mawaziri wanawafadhili wanaomtukana Rais.Strategic issues ndo kama ule uzinduzi albam ya Harmonize eti??
Hata hayo masafari yake ya kila siku sijawahi kuona impact yake kwa nchi zaidi ya kuneemesha wahuni wachache wanaompeleka kama lile robot Eunice la Nape!!!.
Kuwa serious bas!Rais, wetu ana uwezo, mdogo sana, wa, kuongoza,"she is, overwhelmed by sheer size of responsibility of governing"Mambo ya security, uchumi, uharifu, nk, yote haya, Samia,Hana uwezo, mental brain capacity ya kuyachakata, nchi inajiendea tu, maana mama, hatoi mwongozo!
Mfano mdogo tu,mwanamke mwenzie ananyanyaswa hadharani, Taasisi za, chama zinakalipia, Taasisi za, sheria zinakalipia, Mama hatii neno,ndio kwanza, anaenda kucheza "ameroa"ya kondeboy, siku ya, pili tunasikia anakwea pipa kwenda majuu,Korea! So, patheric
Nchi Kwa Sasa inajiendea tu.hatuna rais,tuna mhuni mmoja tu.Duniani kote hakuna utaratibu wa rais kupata mbeleko ya kurithi madaraka.je kama hana uwezo kama huyu wa kwetu ni hasara kubwa kama tunayoipata Kwa Sasa wtz.Nchi zinazojielewa hakuna huo uhuni wa kurithishana ispokuwa huwa wanaitisha uchaguzi upya ili kuepuka hasara ya kupata kiongozi legelege kama wa Sasa wa tz wanayetulazimisha chawa wake tumwite mama wakati siyo mama yetu.
Kuna ubaya gani Rais kuhudhuria uzinduzi wa album? Hizi akili zenu sijui zikojeStrategic issues ndo kama ule uzinduzi albam ya Harmonize eti??
Hata hayo masafari yake ya kila siku sijawahi kuona impact yake kwa nchi zaidi ya kuneemesha wahuni wachache wanaompeleka kama lile robot Eunice la Nape!!!.
FactsRais ni Taasisi na sio mtu!! Maana yake unataka kusema mifumo ipo corrupted?