DOKEZO Kuna wizi unafanyika kwenye mifumo ya control number, sijui nani atachunguza labda Rais kuagiza watu wa usalama wa Taifa wachunguze

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hizo ni micromanagement siyo kazi ya Rais. Muacheni Rais a deal na strategic issues
Strategic issues ndo kama ule uzinduzi albam ya Harmonize eti??
Hata hayo masafari yake ya kila siku sijawahi kuona impact yake kwa nchi zaidi ya kuneemesha wahuni wachache wanaompeleka kama lile robot Eunice la Nape!!!.
 
Nchi Kwa Sasa inajiendea tu.hatuna rais,tuna mhuni mmoja tu.Duniani kote hakuna utaratibu wa rais kupata mbeleko ya kurithi madaraka.je kama hana uwezo kama huyu wa kwetu ni hasara kubwa kama tunayoipata Kwa Sasa wtz.Nchi zinazojielewa hakuna huo uhuni wa kurithishana ispokuwa huwa wanaitisha uchaguzi upya ili kuepuka hasara ya kupata kiongozi legelege kama wa Sasa wa tz wanayetulazimisha chawa wake tumwite mama wakati siyo mama yetu.
Kwa kweli tunahitaji katiba mpya.
Haya mambo ya kurithishana haya, Chalamila alishasema "siku moja atajitokeza mroho wa madaraka akamloga Rais ili yeye arithi madaraka". Sasa ogopa sana kuongozwa na kiongozi mchawi!
 
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Hapa ndipo uzi wako wote ulipoharibikia
 
Rais ni Taasisi na sio mtu!! Maana yake unataka kusema mifumo ipo corrupted?

Jambo hili ni nyeti sanaaaa!! Kama kweli wewe ni MZALENDO, Nashauri tujadiliane suala hili kwa facts, figures and evidence if any; bila kumdhalilisha kiongozi wa nchi!!! Samahani lakini kama nimekukwaza!!

JF Siku hizi inataka kupoteza nafasi yake ya kuwa Sehemu muhimu ya ushauri kwa nchi sababu ya Kuweka mambo kama haya! Mtu anapost jambo muhimu, badala ya jambo kudadavuliwa ili hata kumsaidia Rais na Serikali kujiangalia kwenye kioo! Ghafla yanaporomishwa matusi kwa kiongozi na hapo watu wanapoteana na kuanza kushambuliana.

Hapo tatizo linaendelea kuchanja mbuga!!!
Dada Watanzania kwa asili tunawapenda sana viongozi wetu.
Hivyo ukiona wengi wanafanya hivyo unavyolalamikia, basi ujue uvumilivu unaelekea kuwashindawalio wengi
 
Rais, wetu ana uwezo, mdogo sana, wa, kuongoza,"she is, overwhelmed by sheer size of responsibility of governing"Mambo ya security, uchumi, uharifu, nk, yote haya, Samia,Hana uwezo, mental brain capacity ya kuyachakata, nchi inajiendea tu, maana mama, hatoi mwongozo!
Mfano mdogo tu,mwanamke mwenzie ananyanyaswa hadharani, Taasisi za, chama zinakalipia, Taasisi za, sheria zinakalipia, Mama hatii neno,ndio kwanza, anaenda kucheza "ameroa"ya kondeboy, siku ya, pili tunasikia anakwea pipa kwenda majuu,Korea! So, patheric
Kwa hiyo wewe kila kitu unataka afanye Rais hao wasaidizi wanakazi gani mzee
 
Kama yule mfanyabiashara wa utalii Arusha aliyepewa control number ya milioni 24 akalipa ila ikaja kusoma amelipa milioni 3....WAPIGAJI KILA PAHALA.
 
Strategic issues ndo kama ule uzinduzi albam ya Harmonize eti??
Hata hayo masafari yake ya kila siku sijawahi kuona impact yake kwa nchi zaidi ya kuneemesha wahuni wachache wanaompeleka kama lile robot Eunice la Nape!!!.
Makonda alishasema kuna Mawaziri wanawafadhili wanaomtukana Rais.
Sasa sijui maana ya hilo Roboti Eunice ilikuwa ni kudhihirisha ilo au vipi?!
 
Rais, wetu ana uwezo, mdogo sana, wa, kuongoza,"she is, overwhelmed by sheer size of responsibility of governing"Mambo ya security, uchumi, uharifu, nk, yote haya, Samia,Hana uwezo, mental brain capacity ya kuyachakata, nchi inajiendea tu, maana mama, hatoi mwongozo!
Mfano mdogo tu,mwanamke mwenzie ananyanyaswa hadharani, Taasisi za, chama zinakalipia, Taasisi za, sheria zinakalipia, Mama hatii neno,ndio kwanza, anaenda kucheza "ameroa"ya kondeboy, siku ya, pili tunasikia anakwea pipa kwenda majuu,Korea! So, patheric
Kuwa serious bas!
Hao mafisi unaita 'mwanamke mwenziye'!
Ujinsia na uchama unawafumba macho kwa miwani ya mbao kumbe!
 
Kwa CCM ilivyo nani atachunguza? Hata hao 'usalama' huenda wapo ndani yake!
The whole system has rotten labda tuibinafsishe tutafute wawekezaji wa kuindesha ila mikataba isimamiwe na TLS siyo hawa watu wa ccm
 
Mama zetu wapo bwana, wako strong wametukuza, wametulinda na walijali maslah ya familia.
Nchi Kwa Sasa inajiendea tu.hatuna rais,tuna mhuni mmoja tu.Duniani kote hakuna utaratibu wa rais kupata mbeleko ya kurithi madaraka.je kama hana uwezo kama huyu wa kwetu ni hasara kubwa kama tunayoipata Kwa Sasa wtz.Nchi zinazojielewa hakuna huo uhuni wa kurithishana ispokuwa huwa wanaitisha uchaguzi upya ili kuepuka hasara ya kupata kiongozi legelege kama wa Sasa wa tz wanayetulazimisha chawa wake tumwite mama wakati siyo mama yetu.
 
Strategic issues ndo kama ule uzinduzi albam ya Harmonize eti??
Hata hayo masafari yake ya kila siku sijawahi kuona impact yake kwa nchi zaidi ya kuneemesha wahuni wachache wanaompeleka kama lile robot Eunice la Nape!!!.
Kuna ubaya gani Rais kuhudhuria uzinduzi wa album? Hizi akili zenu sijui zikoje
 
Rais ni Taasisi na sio mtu!! Maana yake unataka kusema mifumo ipo corrupted?

Jambo hili ni nyeti sanaaaa!! Kama kweli wewe ni MZALENDO, Nashauri tujadiliane suala hili kwa facts, figures and evidence if any; bila kumdhalilisha kiongozi wa nchi!!! Samahani lakini kama nimekukwaza!!

JF Siku hizi inataka kupoteza nafasi yake ya kuwa Sehemu muhimu ya ushauri kwa nchi sababu ya Kuweka mambo kama haya! Mtu anapost jambo muhimu, badala ya jambo kudadavuliwa ili hata kumsaidia Rais na Serikali kujiangalia kwenye kioo! Ghafla yanaporomishwa matusi kwa kiongozi na hapo watu wanapoteana na kuanza kushambuliana.

Hapo tatizo linaendelea kuchanja mbuga!!!
Facts
 
Back
Top Bottom